Recent content by tecno tecno

  1. tecno tecno

    Tonica isoyi wa radio "5" arusha

    Huwa yuko vizuri sana ni mtangazaji wa radio 5 arusha
  2. tecno tecno

    Sam Mahela wa ITV; Mfano wa Kuigwa kwa Waandishi wa Tanzania

    Safi sana Sam uandishi nao ni wito
  3. tecno tecno

    Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania 2014, Lilian Kamazima amrithi!

    Wafutwe woote hakuna kupeleka mrembo mwaka huu kwenye mashindano ya urembo dunia washiriki woote ni wa kichina niliwaona karatu kwenye pub iitwaho la mote pub woote vikongwe lkn sababu Lundega anamasilahi pale ndo maana kateua na pia Lundenga ajiuzuru rhino agence au serikali imtimue manake na...
  4. tecno tecno

    Gari la kampuni ya Mwananchi Communications LTD lakamatwa likisafirisha mirungi

    Wakakamate ya Xi Jinping huko china hiyo dili ni ya dereva mshahara hautoshi
  5. tecno tecno

    Lowassa alazimisha ugeni rasmi uzinduzi helikopta ya Gwajima

    Lowasa jembe lazima lipite kwa urais hakuna mwingine tuhuma hazikuwa zake
  6. tecno tecno

    Nafasi za kazi Halmashauri ya Wilaya Babati

    Kweli kabisa tangazo lina mkanganyiko mkubwa
  7. tecno tecno

    Majambazi wavamia Benki ya Stanbic tawi la Mayfair, Msasani

    Hiyo kali ndugu zangu lazima kuna mkono wa mtu
  8. tecno tecno

    Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud afukuzwa kazi, Said Hassan Said apewa nafasi hiyo

    Ilikuwa ni lazima apigwe chini tena afunguliwe mashtaka
  9. tecno tecno

    Maswali magumu kuhusu mapacha hawa TRA Arusha

    Kweli hao mapacha hata kituo cha kazi kimoja ina maana hata bwana atakuwa mmoja
  10. tecno tecno

    Habari zilizo tufikia hivi punde

    Amlaze mahala pema
  11. tecno tecno

    Biashara ya miili Iringa noma

    Hata hapa Karatu ni noouma kuna guest house inaitwa Beijing wamejaa vyumba vyote bei ni nyekundu yako tu
  12. tecno tecno

    Video nyingine ya uwindaji haramu Tanzania

    Hata hao wawindaji wachukuliwe hatua kali
  13. tecno tecno

    Radio Free Africa Wajirekebisha

    Ni kweli ilikuwa kero sana
Back
Top Bottom