Radio Free Africa Wajirekebisha

Radio Free Africa Wajirekebisha

Ni katika kipindi chao cha magazetini asubuhi. Kuliwahi wekwa uzi humu kwamba kipindi chao cha kupitia magazeti asubuhi kimejaa matangazo ya biashara na habari za magazeti zinasomwa kiduchu tu. Kipindi kilikua na matangazo kumi kabla,matangazo kumi katikati na matangazo kumi mwishoni!.Watu wengi wiiponda kwa mpangilio huo.
Kwa karibu wiki sasa nimekua nasikiliza kipindi hicho na kwa sasa wanaweka matangazo mawili mwanzo,mawili kati na mawili mwishoni!. Tena leo ndio ilikua poa zaidi,waliweka tangazo moja tu mwanzoni,mawili katikati na kama matatu mwishoni. Taasisi nyingine zijifunze kwa hawa katika kushughurikia malalamiko ya wananchi. Kudos.

Watakuwa wamekosa matangazo
 
Its true, wamejirekebisha sana tu, manake ilikuwa balaa kipindi cha nusu saa magazeti yalikuwa yanasomwa dk 8 tu
 
Ni katika kipindi chao cha magazetini asubuhi. Kuliwahi wekwa uzi humu kwamba kipindi chao cha kupitia magazeti asubuhi kimejaa matangazo ya biashara na habari za magazeti zinasomwa kiduchu tu. Kipindi kilikua na matangazo kumi kabla,matangazo kumi katikati na matangazo kumi mwishoni!.Watu wengi wiiponda kwa mpangilio huo.
Kwa karibu wiki sasa nimekua nasikiliza kipindi hicho na kwa sasa wanaweka matangazo mawili mwanzo,mawili kati na mawili mwishoni!. Tena leo ndio ilikua poa zaidi,waliweka tangazo moja tu mwanzoni,mawili katikati na kama matatu mwishoni. Taasisi nyingine zijifunze kwa hawa katika kushughurikia malalamiko ya wananchi. Kudos.

Ukweli ni kwamba watambue kuwa matangazo yanapokuwa mengi sana yanatuboa wasikilizaji, inatufanya tutafute station zingine kusikiliza hata ambazo tulishazipiga chini km uhuru fm. Punguzeni matangazo bwana
 
hao mambo yao ya kizeezee kama redio one,hawatak kubadilika.ndio maana hapa town humkuti mtu akiwasikiliza,hata mikoani sikuiz haisikilizwi sana maana cloudz wameanza kufika mikoa mingi.so wasikilizaji wao hasa ni vijijini na sehem ambazo cloudz haifiki

Pole sana ndugu ukisikia clauds wanasikika kigoma au tbr ujue ni maeneo ya mjin tu.Fanya utafit utaona rfa karib tanzania nzima
 
Hujaelewa vizuri comment yangu hebu soma tena kwa umakini
 
Nikimsikia Tom Chilala na station nabadilisha! Jamaa lazima aanze na gazeti la uhuru

Wamejirekebisha kidogo hii ni baada ya kujitambua makosa yao
Ila wasiwasi wangu ni pale wanapojitanabaisha kisiasa habari za kuifurasha serikali ndio za kwanza na zile za kuikosoa serikali pamoja na kero za wananchi wanazipitia juu juu
 
Katiririka bila kigugumizi, bila sauti mkwaruzo mpaka nikahisi wametumia software badala ya mtu maana sikusikia hata utambulisho wake, amenikumbusha mtangazaji mmoja wa RTD alikuwa anaitwa Christine Chakunegela
yaweza kuwa ni mchumba wangu Lilian Ntono manake anaongea vizuri huyu................
 
Back
Top Bottom