CIRG ni unit mojawapo ya FBI ambayo ni Criminal Incident Responce Group ambayo ni maalum kushughulikia issues kama abduction au watu kupotea katika mazingira tatanishi.
Infact SWAT (Special weapons and Tacticts Teams) zipo katika ofisi zote 56 kubwa za FBI na wanapokea mafunzo ya zaidi anayopata normal FBI agent while CIRG and HRT are something else
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.