Nawewe umeingia Chaka maana NSA inajumisha intelligence community service yote ya USA including CIA tusichokijua wengi ni kwamba USA peke yake inataasisi 17 zinazoshughulikia ulinzi na usalama wa USA mbapo zote hizi ziko chini ya mwamvuli mmoja ndio huo unaitwa NSA linapotokea Jambo kubwa na zito kama lile la osama hizi intell zote zinaitwa kujumuisha taarifa zao pamoja na hatimaye kushauri na kufanya maamuzi.Hapo kwenye CIA na FBI umeingia Chaka .
CIA Pacha wake Ni NSA sio FBI
FBI wanahusika ma upelelezi wa makosa ya Jinai na mengineyo.ila sio ujasusi
Na wewe pia umeingia ChakaNawewe umeingia Chaka maana NSA inajumisha intelligence community service yote ya USA including CIA tusichokijua wengi ni kwamba USA peke yake inataasisi 17 zinazoshughulikia ulinzi na usalama wa USA mbapo zote hizi ziko chini ya mwamvuli mmoja ndio huo unaitwa NSA linapotokea Jambo kubwa na zito kama lile la osama hizi intell zote zinaitwa kujumuisha taarifa zao pamoja na hatimaye kushauri na kufanya maamuzi.
Kitaalam au kwa kirefu.?Yhaaaa kitaaalm inaitwaaa SPECIAL WEAPONS ASSAULT TEAM
Hakuna Cha utata hapo we send umeamua kuwa mbishiWatakuja wajuvi zaidi wataondoa utata.
Hapo FBI iko Homeland security Kama sikoseiWatakuja wajuvi zaidi wataondoa utata.
NSA ni shirika linalojitegemea, ndipo alipokua anafanyia kazi Snowden. Kumejaa Nerds ambao kazi yao ni kukusanya taarifa na kufanya analysis.Watakuja wajuvi zaidi wataondoa utata.
CIRG ni unit mojawapo ya FBI ambayo ni Criminal Incident Responce Group ambayo ni maalum kushughulikia issues kama abduction au watu kupotea katika mazingira tatanishi.Hizo cirg na hrt ndio nini mkuu
Hayo mashirika ya kijasusi katika nchi za kidikteta kama hiyo Russia sio ya kusifia humu. Kazi yao kubwa huwa kulinda watawala na kunyanyasi wananchi ambao hawapendi tawala hizo.2.FSB HQ la urusi lipo mtaa wa lubyanka na jengo linaitwa lubyanka Moscow.
Panaitwa- --Seven Hills Lubyanka, Moscow.
fbi ni jinai zaidi, hata mabomu ya 1998 walikuja kuchekecha mchanga pale ubaloziniThanks chief.
Shirika lenyewe la kijasusi afu unasema hawajiusishi na ujasusi? (FBI)Hapo kwenye CIA na FBI umeingia Chaka .
CIA Pacha wake Ni NSA sio FBI
FBI wanahusika ma upelelezi wa makosa ya Jinai na mengineyo.ila sio ujasusi
nadhani hujanisoma vizuri. hakuna mahali nimeandika CIA pacha ake ni FBI.Hapo kwenye CIA na FBI umeingia Chaka .
CIA Pacha wake Ni NSA sio FBI
FBI wanahusika ma upelelezi wa makosa ya Jinai na mengineyo.ila sio ujasusi
nafikiri unacho refer ni department of defence. hii departement ndio ina oversee all intelligence agencies hapo america.Nawewe umeingia Chaka maana NSA inajumisha intelligence community service yote ya USA including CIA tusichokijua wengi ni kwamba USA peke yake inataasisi 17 zinazoshughulikia ulinzi na usalama wa USA mbapo zote hizi ziko chini ya mwamvuli mmoja ndio huo unaitwa NSA linapotokea Jambo kubwa na zito kama lile la osama hizi intell zote zinaitwa kujumuisha taarifa zao pamoja na hatimaye kushauri na kufanya maamuzi.
FBI iko under department of justice maarufu kama DOJ. kumbuka hawa ni ni law enforcement.Hapo FBI iko Homeland security Kama sikosei
ni polisi wa kawaida.Nawale walompiga jamaa goti hadi akafa ni FBI au?