Recent content by TechMaro

  1. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA leaders you have let us down in grooming EALA Candidates, a lot of credit to NCCR MAGEUZI

    Huyu Executive alitaka achaguliwe yeye ndo maana ametujia hapa na kiingereza kiiingiii, nachoshangaa hata process ya kumpta mgombea hajui
  2. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA leaders you have let us down in grooming EALA Candidates, a lot of credit to NCCR MAGEUZI

    Huyu Executive alitaka achaguliwe yeye ndo maana ametujia hapa na kiingereza kiiingiii, nachoshangaa hata process ya kumpta mgombea hajui
  3. T

    JamiiForums Tanzania AN OPEN LETTER to BAE Systems: Do not return radar money to Tz Government

    Hata mimi nimepata the same message.....
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Methali mpya

    Ukimwi ni ukimwi, hata demu awe mkali vipi.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za rushwa BAVICHA zipelekwe TAKUKURU - Zitto

    I support you... In summary, ndani ya mwezi mmoja huyu Mchange ametransact kwa Tigo pesa kama ifuatavyo: 1. Recharge shs 11,750 2. Cash in shs 433,000 3. Cash out shs 113,000 4. Transfer shs 292,000 Mpaka hapo sijaona kosa lake ni nini. Labda kama mkitueleza hizo cash in zilitoka kwa nani na...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nyoka wenye vichwa viwili

    I hate hawa wadudu....sijui ni mimi tu! nikwaona nasisimka...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    It is not about money, it is about the game. WallStreet Movie...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mabere Marando na utetezi wa Manji

    Hili jambo limekuwa likinisumbua kwa muda mrefu sana.... I am starting to suspect hii opposition tuliyo nayo kusema kweli. Tusikute ni kukosekana kwa opportunities upande mwingine ndo watu wakahamia upinzani, huku mioyo yao bado haijabadilika. Leo hii, Mabere Marando ndo anaongoza kukataa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Joseph Selasini, a Square peg in a Round hole?

    Mkuu, Ni jukumu la wanaomshutumu waje hapa na evidence kwamba anasema uongo. Not mimi. Kuhusu kutumwa na wananchi kusema hilo nimesema kama mfano, so sina haja ya kuweka data yoyote. Anyway kuhusu shule za kata, hebu tazama hizi: http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2010/csee2010/s0979.htm...
  10. T

    JamiiForums Tanzania January Makamba akataa bahasha za milioni moja za "Lunch"

    Guys, this is politics, kama hatajiuza kwa wananchi kwa kufanya kazi basi yeye ni mpumbavu...na amechaguliwa (anyway, huyu alipita) ili akafanye kazi hii anayoifanya. Je yeye kama mbunge na kiongozi wa hiyo kamati,mnataka afanyeje??? Je mnamtaka akae kimya??? Au furaha yenu aharibu tu...
  11. T

    JamiiForums Tanzania January Makamba akataa bahasha za milioni moja za "Lunch"

    Watu humu JF kawaida kupinga kila kitu! Aliyetoa habari katupa link kama source, wewe umekuja na malaria no more, mwamvita etc etc, tupe link basi ya hizo source. Kwa alichokisema January Makamba na ile barua aliyomwandikia Ngeleja, ni uthibitisho tosha (so far) kuonyesha huyu kijana ana nia...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Joseph Selasini, a Square peg in a Round hole?

    Unajua huku JF uzuri wenu mmekaa kupinga chochote kinachosifia serikali.....Mimi najua hii serikali imeshindwa kuendesha nchi inavyotakiwa, lakini pia kuna mafanikio madogo madogo ambayo yamepatikana kutokana na sera hizi hizi za hii serikali, wote tunajua how good on paper hizi sera zilivyo...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Bungeni: TLP, CUF, UDP na NCCR Mageuzi navyo vyaungana

    Wazee hii mbona kitu cha kawaida sana??? Tokea mwanzo wa vyama vingi, muungano wa upinzani ulionekana kushindikana. Upinzani mwanzoni vilikuwa vinapeana support kwenye urais na majimboni...kwamba tunamsupport rais wako, pia jimbo hili nimemweka wangu na wewe weka wako kule tusaidiane. Sasa hii...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Bungeni: TLP, CUF, UDP na NCCR Mageuzi navyo vyaungana

    Acha uongo ndugu yangu, tupe ushahidi....haiwezekani CCM hata siku moja imtose mgombea wake apewe mpinzani. By the way, usifikiri Selasini aliupata huo ubunge kihivi hivi tu, wananchi waliandamana from Tarakea, Useri, Mashati na Mkuu kwenyewe kulinda kura na kusimamia mpaka matokeo...
  15. T

    JamiiForums Tanzania GE2010 Mbunge mteule wa Karagwe anajuta

    Wakubwa mimi niko against wizi wa kura, na imeniuma sana ukizingatia jimbo nililopiga kura na mbunge niliyempigia walimchakachulia matokea yake, lakini hii ishu ya watu kuwawinda watu na kuwakimbiza maeneo yao ya kuishi si sawa kabisa na wala hatutakiwi kuishabikia kwa namna yoyote ile. NIna...
Back
Top Bottom