Msisahau hapa kwetu mafisadi wanagombea urais iwe ccm, chadema na wanashabikiwa na kuaminiwa tena kwa mbwembwe kabisa.
Magufuli ondoa hili tatizo Tanzania.
Kauli za membe sio njema kwa mustakabali Wa taifa letu. Namuomba mhe JK na wenzako aakina membe mutuache ssalama. Membe lazima aonywe na ccm sio mfano mzuri kwa uongozi mahala popote pale hata kama ni haki Yake kikatiba.
Magufuli ana miezi 2 na nusu tangu aanze kazi. Sasa kukosolewa huku kwa...
Muhongo ni zaidi ya akili za matope jf mnaokaaa na kumkashifu. Kwa upumbavu wenu mnaona heri ya lowasa kuliko prof muhongo. Mwacheni awatumikie watanzania kwa faida ya taifa. Ni mzalendo na mkweli na mwenye tija. Endeleeni na mafisadi wenu mnaowapigania wawe rais wetu ukweli hawatakuwa rais
Haaminiki sana kingu kwqni hata u DC aliondolewa kwani si mwaminifu. Anatafuta uwaziri. Ingawa move yake ni jambo Jema lakini naomba uwaziri asiaminiwe.
Enyi wamachinga mmejiloga wenyewe mnavamia miji na kujenga bila kufuata taratibu sasa ngoja mbomolewe mabanda yenu ili Lowasa awatafutie maeneo mengine awajengee...
Wamekuwepo CCM miaka yote ya maisha yao. Wameshiriki kuijenga ngome na himaya kuu ya CCM. Leo 2015 wanatoka CCM kwenda kuiangusha himaya waliyoijenga miaka zaidi ya 50.
Swali
Je, walijisahau au walidhani wao ndio nguzo kuu ya ngome ya himaya ya CCM hivyo wakitoka itaanguka?
Nifahamisheni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.