Recent content by TeamCCM-2015

  1. T

    Lowassa: Jitathmini sana kwani watanzania si wote wapumbavu

    Ndugu yangu Lowassa ni vema ukajitathimini sana na kujitambua. Usifikiri watanzania wote ni mbumbumbu na wapumbavu la hasha. Nakusihi uachane na suala la urais na ufikirie shughuli nyingine ya kuzalisha mali, uchaguzi umekwisha. Pia tambua kuwa si lazima wewe tu ndio uwe rais wetu la hasha.
  2. T

    GE2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

    Ratiba ya magufuli katika kuijenga nchi mpya tanzania anaanza kama ifuatavyo: - 1. Kuwafungulia kesi za uhujumu uchumi mafisadi wote bila kujali nafasi walizowahi kutumikia serikalini 2. Kufufua viwanda vyote vilivyokufa na mashirika ya umma yaliyobinafisishwa na hayafanyi kazi vyema, kuyaunda...
  3. T

    UKAWA: Safari yenu imefika mwisho leo 29.10.2015 - Kingunge, Sumaye, Lowassa kutimka

    :angry:Baada ya kutangazwa kwa J. P. Magufuli kuwa rais wa 5 wa Tanzania leo tarehe 29.10.2015, ndio umekuwa mwisho wa ule umoja wa mashaka wa UKAWA. Kwani umoja huu ulijengwa kwenye kuaminishana kuwa fulani akiwa rais basi na sisi tumeula na kupiga dili za kufa mtu. Sasa wataanza kutimuana...
  4. T

    GE2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

    Baada ya kutangazwa kwa j.p.magufuli kuwa rais wa 5 wa tanzania leo tarehe 29.10.2015, ndio umekuwa mwisho wa ule umoja wa mashaka wa ukiwa. Kwani umoja huu ulijengwa kwenye kuaminishana kuwa fulani akiwa rais basi na sisi tumeula na kupiga dili za kufa mtu. Sasa wataanza kutimuana na kila mmoja...
  5. T

    Tetesi: Viongozi UKAWA kukutana na wananchi viwanja vya Mnazi Mmoja

    hAO VIONGOZI WA UKAWA WAJE NA WATOTO WAO NA NDUGU ZAO PIA WASIJE KUWAPONZA WATOTO WA WAKULIMA NA WAFANYAKAZI WAO KIKINUKA WANASEPA ZAO ULAYA.
  6. T

    Lowassa, mwanasiasa laghai anayetaka kwenda Ikulu kijanja ujanja

    Kwa bahati mbaya zaidi ujanja ujanja wake bado anataka kulazimisha tume isiendelee kutangaza majimbo yaliyobaki na mshindi wa kiti cha urais. mbona matokeo ya ubunge hayapingi? He is nutty.
  7. T

    CCM ingemsimamisha Lowassa ingeanguka vibaya

    NI vema ieleweke kuwa Lowasa amepata waungaji mkono toka Ukawa na wanaCCM maslahi na wale wasiojifaham kabisa na kutokuwa na upande wowote wao ni fuata upepo na tia maji tia maji. Walioipigia CCM kura ni watu wanaojitambua wakiwemo wana CCM. Ki ukweli Lowasa ni vema atambue kuwa hakubaliki na...
  8. T

    CCM ingemsimamisha Lowassa ingeanguka vibaya

    Matokeo yaliyopo sasa yanaonyesha wazi kuwa CCM ingemsimamisha Lowasa ingepigwa mwereka mbaya sana. Hongera CCM kwa kuliona hili mapema na pia hongera sana mwana wa kitanzania na mzalendo John Pombe Magufuli.
  9. T

    Regina Lowassa kampeni zako ni kwa manufaa ya nani?

    Nauliza UKAWA wanieleweshe bado sijamuelewa mama huyu kampeni zake nchi nzima ni kwa faida ya Taifa au familia yake? Na gharama zake za kampeni zinatokana na chama au familia? Mjulisheni tunatafuta Rais wa nchi na sio familia ili akawatumikie Watanzania.
  10. T

    Picha: Mama Regina Lowassa afanya kufuru Bunda, Tarime na Musoma Mjini

    Huyu mama yuko chama gani? Na hizi kampeni zake ni kwa maslahi ya taifa au familia?
  11. T

    Lowassa awageuka tena Polisi

    Kwani bado mnamuamini Lowasa kwa Sana'a zoteee anazotuonyesha jamani!
  12. T

    Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

    Mtawadanganya wapumbavu na malofa. Kwa CCM huyu mama hana lolote anatufuta umaarufu asiokuwa nao. Aende zake kwa wakabila wenzake.
  13. T

    Humphrey Polepole: Ni uchaguzi wa waadilifu dhidi ya genge la wahuni

    Ukawa ni taasis ya nguvu za Giza tuiogope kama ukoma.
Back
Top Bottom