Lowassa, mwanasiasa laghai anayetaka kwenda Ikulu kijanja ujanja

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,894
20,372
Wadau, amani iwe kwenu.

Jina la Lowasa lilianza kuwa maarufu hasa baada ya sakata la Richmond. Wakati huo umaarufu wake ulitokana na sifa mbaya ya wizi na ufisadi.

Miaka 8 baadaye Lowasa anageuka kuwa mtetezi wa mama lishe, bodaboda na machinga. Haijaeleweka nini kilifanyika mpaka akapata umaarufu kwenye makundi hayo ijapokuwa inaweza kuelezwa ni kutokana na zile rushwa za kimakundi.

Baadaye akajipenyeza ndani ya vyombo vya maamuzi ndani ya CCM. Akaonekana ndiye kiongozi pekee anayefaa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHAMA hicho. Hatukumuangalia usoni. Tukamkata. Akahamia CHADEMA.

Nako akatumia ujanja ujanja mpaka akapitishwa kuwa mgombea Urais. Ni ujanja tu ulitumika. Hakukuwa na ushindani wowote ndani ya CHADEMA na UKAWA.

Akaingia kwenye kampeni. Nako akatumia ujanja ujanja ili mikutano yake ionekane ina watu wengi. Kumbe walikuwa wanaunga unga tu picha. Ni ujanja tu.

Tukaingia kwenyemkupiga kura. Lowasa na kundi lake wakaandaa vijana wa kuandaa matokeo feki na kuyaweka mitandaoni. Ujanja wake ulikuwa matokeo hayo feki ndiyo wayatumie kuishinikiza Tume kumpeleka Ikulu.

Baada ya kukamatwa wale vijana, Lowasa akatumia ujanja na kulalamika eti walikuwa wanajitolea. Ujanja tu kwani ukweli ni kwamba ni yeye ndiye amewanunulia zile simu na kompyuta. Ndiye aliyewapangisha kwenye mahoteli makubwa makubwa huku wakilala na kula bure.

Nikuambie Lowasa kuwa ujanja hauwezi kukupeleka Ikulu
 
Bora tumemkata tena akaendelee na madili yake ya kifisadi japo kwa magufuli lazima akae tena udokozi wao ndiyo basi tena.
 
Wewe tikiti maji acha upumbaf
Umesema alitumia ujanja kuwa maarufu halafu unashangaa mikutano ya mtu maarufu kuwa na watu wengi?
Waambieni mabwana zenu kuwa tunataka kuongozwa na MTU tuliyemchagua na sio aliyechaguliwa na kura feki zilizozagaa nchi nzima! Watanzania wanaamua na si vinginevyo.
 
wewe bongo usifikirie wa TANZANIA NI WAJINGA KURA FEKI HAZIWEZI KUTUPA RAIS
 
Lizaboni umesahau pia alichukua Uenyekiti wa Kamati ya Ulinzi, Usalama na Mambo ya nje ili kupata sapoti ya Balozi za nje na Vyombo vya Ulinzi.Lowassa ni mjanja ila Jakaya ni Mjanja zaid
 
Wewe tikiti maji acha upumbaf
Umesema alitumia ujanja kuwa maarufu halafu unashangaa mikutano ya mtu maarufu kuwa na watu wengi?
Waambieni mabwana zenu kuwa tunataka kuongozwa na MTU tuliyemchagua na sio aliyechaguliwa na kura feki zilizozagaa nchi nzima! Watanzania wanaamua na si vinginevyo.

Watanzania wameamua kwa
 
Ukisema Lowasa laghai, basi sijui JK atakuwa nani!!
Infact Lowasa si laghai Kikwete ni Laghai, maneno mengi na hakuna alilofanya.

Richmond/ ----, Kasema nyerere etc etc; hakuana hata mtu mmoja aliyethibitisha!!

Mlipanda chuki kwa Mrema
Mkapanda chuki kwa Maalimu na CUF
Mkapanda Chuki kwa Slaa
Sasa rafiki mkubwa yenu lowassa pia Mnapanda Chulki ... that is CCM

The luckiest card they have (CCM); 99 percent of Tanzanians are illiterate; God Forgive them!!
 
Inakera kuona uchaguzi zenji umebatilishwa kirahisi hata umiss Tanzania wa sitti ulikuwa iishu
 
The bottom line PUMZI imewaishia ................... mnamsingizia Lowasa tu. Lowasa ni Raia kama raia wngine. Ni Mtanzania kama Watanzania wengine ............... ana haki ya kuchaguliwa na kuchagua!! Haiwezekani Lowasa akamzidi nguvu Rais wa Tanzania wala Chama Tawala cha CCM!!

Kinachopiganiwa kwa sasa ni Haki kutendeka. Period!!
 
Ukisema Lowasa laghai, basi sijui JK atakuwa nani!!
Infact Lowasa si laghai Kikwete ni Laghai, maneno mengi na hakuna alilofanya.

Richmond/ ----, Kasema nyerere etc etc; hakuana hata mtu mmoja aliyethibitisha!!

Mlipanda chuki kwa Mrema
Mkapanda chuki kwa Maalimu na CUF
Mkapanda Chuki kwa Slaa
Sasa rafiki mkubwa yenu lowassa pia Mnapanda Chulki ... that is CCM

The luckiest card they have (CCM); 99 percent of Tanzanians are illiterate; God Forgive them!!

Daah! illiterate, Mimi!? Inaniuma sana
 
Kama unamatatizo ya chunusi, mba, muwasho mwilini, nguvu za kiume na kike, ni follow.
 
Wangesoma matokeo kama yalivyo patikana vituoni ingesaidia kujua nani anataka ikulu kiujanja!
 
Wangesoma matokeo kama yalivyo patikana vituoni ingesaidia kujua nani anataka ikulu kiujanja!

Wewe hii nchi ni very sick...
lakini ndo hivyo tena safari yao imeshatimia
i am sure hata wewe ulikuwa unaipigia kura CCM zamani
but mwaka huu hujawapigia na hawajaheshimu maamuzi yako
na i am sure huna hamu nao.....
'the sands has shifted beneath'......hawaponi tena wamesurvive hii tu for now
 
mimi ni muumini wa 'ujamaa' ila sipendi udanganyifu, boss, the boss una po1nt1
 
Kwa bahati mbaya zaidi ujanja ujanja wake bado anataka kulazimisha tume isiendelee kutangaza majimbo yaliyobaki na mshindi wa kiti cha urais. mbona matokeo ya ubunge hayapingi?

He is nutty.
 
Back
Top Bottom