Huyu wa Mtaani hapa yeye alipigiwa simu akaambiwa namba yako nimepewa na Mwl fulani wa Shule fulani,ambaye huyu boda wanafahamiana,basi jamaa akamwambia nichukullie utumbo kilo moja niletee,jamaa akampigia tena kuwa namba nakupa itumie 1,600,000 mimi nipo na mafundi hapa home ukifika nakupa,yule...
Mi nampendea Ruto kitu kimoja tu,anakwambia kukopa sio vizuri alafu yeye anaenda kuchukua mkopo huko huko kwa Mabeberu.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Lavie lavie- lucian Bokilo
Pantalon mariba - Jean Baron
Koudia ndambou - Jean Baron
Malou - Loketo Group
Embargo - loketo Group
Mamie lolo - loketo Group
Grand effets - alan kounkou
Douce Isabelle - Aurlus Mabele
Soukous - lutchiana
Robin Pretty - soukous Stars
Sent from my SM-A305F using...
Konda kamwambia akachimbe dawa
Yeye kaenda kufyatua matofali
Anakwenda pale mohamed Hussein
Goooooooooool
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kuna zahanati moja ipo Madale flamingo pale ya Serikali,wife alianza kliniki pale na akajifungulia pale,tena bure kabsa.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Dah!nimekuwa mpz sana wa huu muziki kwa kuwasikiliza hawa manguli,Arrow,Winston Soso,Baron. Ila huyu Arrow anabalaa sana mzee wa easy dance,Colombian rock,Hot hot na Soca rhumba.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Man to man kuna watu wapo vizuri kuliko hawa wanajeshi,
Kisa kingine kuna mshikaji anaendesha bajaj hapa maeneo ya Mwenge,basi kuna siku anavuka tu barabara bila bajaji kuna gari ya wanajeshi walikuwa wawili wakampelekea mshikaji anaevuka kwa miguu zima zima,sasa yule mshikaji kuona anataka...
Kuna muwekezaji wamempa lile eneo kahaidi atajenga msikiti mzuri pamoja na fremu za biashara,sasa kaanza na fremu kwanza ili apate pesa ndio awajengee msikiti baadae,
Yani unavunja kwanza nyumba ya ibada alafu unajenga kwanza fremu za biashara nyumba ya utajenga baadae.moja kati ya mkataba wa...
Hapo msikiti wa Mwenge kumejaa fremu,alafu hizo za chini kodi mil 3 kwa mwezi,na msikiti wameuvunja.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.