Recent content by TDibwe

  1. TDibwe

    Naweza kuthibitisha uhalisia wa VISA niliyotumiwa?

    Katika maombi ya Visa Kuna serial number.Fika ubalozi wa Canada upo baada ya makaburi ya Kinondoni Jengo lenye Ofisi za Benk ya kilimo opposite na ilipo DSTV watakuangalizia kwenye Server zao! Kama ni kweli umo utaonekana wewe na details zako! Asije akawa mzungu Mnaija anataka kukupigia hela...
  2. TDibwe

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na Hamas

    Hizi ni za 7th October Lete za jana
  3. TDibwe

    Mitandao ya simu kwanini inagawa namba zilizokuwa zimesajiliwa kwa watumiaji wengine?

    Line mashirika ya Simu wanalipia Kila mwezi TCRA.so kama auitumii kwao ni hasara! Baada ya miezi 3 inawekwa sokoni.
  4. TDibwe

    Israel imepoteza Wanajeshi 2,985 na majeruhi 11,600 kwa kipigo huko Gaza

    Ata wangekufa 10,000 Bado ukweli ni kuwa Hamas ni losers.Kubali kataa.itachukuwa miaka na billions kadhaa za US.kuijenga tena Gaza strip.
  5. TDibwe

    DSTV muda sio mrefu tutawaacha mazima

    South DSTV ana miaka 3,Mbele.Anaenda kufa mazima😭,Maana Streaming companies wakiwemo Netflix Wanakula nae sahani moja...DTH Satellite bandwidth Ina mwisho,wakati kwenye fiber no limit
  6. TDibwe

    DSTV muda sio mrefu tutawaacha mazima

    Soon TTCL fiber italeta mageuzi,stay tuned
  7. TDibwe

    DSTV muda sio mrefu tutawaacha mazima

    🤣🤣🤣 Ni billions,typo error mkuu
  8. TDibwe

    DSTV muda sio mrefu tutawaacha mazima

    Trillions zaidi ya 20😮
  9. TDibwe

    DSTV muda sio mrefu tutawaacha mazima

    Kwa sasa kutokana na streaming,Online TVs ,Hotel IPTV soko la DSTV linashuka Kila kukicha-....na Mapato yake 2020-2023 Yanashuka Kila mwaka.ifikapo 2028 huenda atokuwepo tena..kutokana na fibre optics Networks kusambaza Africa na hivyo kufanya streaming,IPTV,VOD kuwa cheap. Na affordable
  10. TDibwe

    DSTV muda sio mrefu tutawaacha mazima

    DSTV analipa zaidi ya $10M (2015) kwa mwaka na ana exclusivity rights kuonyesha EPL, Champion League na ligi zingine za football kwa east and Central Africa.
  11. TDibwe

    Wapalestina wamepata ushindi mkubwa vita ya Ghaza mpaka sasa. Nini kimepelekea ushindi wao huo?

    Panya wa HAMAS wakijisalimisha kwa Askari wa Israel- Leo 22-11-2023
  12. TDibwe

    Wanajeshi 16 waungua moto hadi kufa Gaza

    Hii ni Mili ya watoto wa Israel sio Askari watoto waliounguzwa tarehe 7.
  13. TDibwe

    Mauaji Afrika Kusini: Amuua mwenzake, amkata Kichwa na kula viungo vya ndani sehemu ya tumbo

    1.Wamekata tamaa na Hali Dunia ya Maisha na tofauti kubwa kati ya masikini na Matajiri. 2.Serikali ya ANC aipo makini...So Police wanafanya kazi katika mazingira magumu na wahalifu kuuza police au shahidi wa kesi yake ni jambo la kawaida Katiba Yao ilifuta adhabu y kunyonga,Na dhamana kwa kesi...
Back
Top Bottom