....Nimekaa nikatafakari kuhusu tabia ya Watanzania tulio wengi tunalalamika sana tena kupita kiasi. Nadhani tathmini ikifanyika inawezekana Tanzania ikawa ya kwanza kwa kuwa na kundi kubwa la watu wanaolalamika kuliko Nchi yeyote duniani, yes nakubali kuwa tuna matatizo tena mengi tu ambayo...
...i sweat to God tuna matatizo..kwani Ndege kununuliwa tatizo liko wapi. What do we want? Juzi tulikua tunataka ndege, leo haifai tena tunataka treni, treni ikija tutataka mabasi. Ee Mwenyenzi MUNGU usituhesabie dhambi sie watanzAnia. Tuna tatizo la kisaikolojia.
Umbea unafiki...mwanamke kwa hasili aliumbwa kusaliti na maneno ya kinfki....sometimes when we travel in a bus we dont have a vusion of what driver has but we belief in him and we trust him becUse we know where we a heading...
Tukiletewa mashine ya kupima akili zutu wengi tutalazwa hosoitali kwa matibabu....tuacha hoja tunaingia chaka na mihemko kama aliyoeleza mleta mada(Dodald Trump kind)
....nimetafakari miaka Zaidi ya hamsini....itakua rasi kuanya tena mabadiliko 2020 baada ya kuwa ba katiba tunayoitaka sisi wananchi.....whether mabadiko yatakuwa mabaya au la. Faida ys mabadilko kwangu ni Katiba mpya end of story.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.