Recent content by TAWIK

  1. TAWIK

    Msaada: Biashara ya Nyumba ya Wageni (Guest House) imekaaje?

    Mwambie muhudumu kila tukio arekodi kwenye kitabu afu mzoeshe kumshitukiza na mwambie kila tukio utakalolikuta halijarekodiwa hata la fasta litamfukuzisha kazi
  2. TAWIK

    Wanaosema kujenga ni kuzika pesa

    Kitu ambacho humfanya mtu aonekane ana akili ni muda! (Dakika moja) Tsh M30 huingiza faida ya Tsh50 kwa mfano na Nyumba ya M30 huingiza faida ya Tsh3... Sasa hapa ndipo wanauchumi wanatushauri tuimarishe mitaji kwanza ndipo tujenge. Hivyo kunamisamiati miwili yani kunawajenzi na wazikaji
  3. TAWIK

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Wazoefu mtujuze naweza pata tamthilia hizi kwasababu zingine zinagusa maisha yetu kabisa, kama ile ya walima uyoga... Zinafurahisha sana. Tusaidieni tutawalipeni jamani
  4. TAWIK

    INAUZWA Zipate mashine za lambalamba au Popsicle's

    Nimefanikiwa kwa asilimia 100 na sasa nimekuwa mwalimu nasaidia watu Tz nzima. Chostic zinalipa asikuambie mtu
  5. TAWIK

    Wanaume wa Dar! Mitaa mitatu Mnatekwa na Panya Road?

    Cha ajabu Dar kuna mataili mengi sijui mnafanyiaga kazi gani?
  6. TAWIK

    Mrisho Mpoto ana cheo gani Serikalini?

    Wanampa pande wakimuacha anawacha. Si unakumbuka... Oooh Mara hivi Mara vilee wapiiii
  7. TAWIK

    SoC01 Elimu Fedha (Financial Literacy) itawakomboa watu wengi kiuchumi

    Ubongo wa binadamu ni computer ambayo binadamu hatokuja itengeneza. Itakachopandikizwa na kuwekewa mkazo (reinforcement) inaweza Fanya maajabu. Tatizo kila binadamu anakazia akipendacho wengine mpira, wengine music, masomo, pombe, nk. Mtu, Familia, jamii au Taifa litakalo jikita kwenye uchumi...
  8. TAWIK

    Ukitaka pesa fanya hivi kijana!

    Kabla hatujabumba kitu Nadhalia kwanza hufikiliwa kisha tunaingia maabara kutoka na kitu... Sasa hapa vijana tunawapa nadhalia ili wasipoteze muda mwingi kutafuta njia na wakati mwingine hata njia isipatikane uzee ukamkuta Mimi siwezi kujisemea ntaonekana najigamba kwa ukwasi nilionao na...
  9. TAWIK

    Ukitaka pesa fanya hivi kijana!

    Kwanza nikukumbushe hakuna kiwango cha Mali ambacho mtu kinaweza kumkidhi akipatwa na mapito! Kuhusu yadunia hayo tuyaweke kando hapa tunashauliana kwenye hali ya kawaida! Yani tofauti yamawazo ya matajiri na masikini.
  10. TAWIK

    INAUZWA Freezer nzuri kwa watu wa biashara ina mwezi tu

    Jibu nikua ukiweka manyoya ya kuku linajaza kg 12 na ukiweka mawe linabeba kg 970
  11. TAWIK

    Ukitaka pesa fanya hivi kijana!

    Anaewaza pesa kama wewe nimesema nimasikini mbona huelewi?ntakukowa ww!
  12. TAWIK

    Ukitaka pesa fanya hivi kijana!

    Maono yatotewayo kwa mipango ya Mungu wasiohusika hatakama wakiyaona hawaoni kitu huangalia maandishi n.k.... Hongera kwa kwakunirekebisha!
  13. TAWIK

    Ukitaka pesa fanya hivi kijana!

    Kwann elfu kumi na sio kuku wawili unaona mnapokwama?
  14. TAWIK

    Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Mulisema hawana nguvu za me mbona zimefulika me me me na ke wapi?
Back
Top Bottom