huu uzi ulinivunjia mahusiano yangu, sitakuja kusahau, nilitoa ushuhuda mwaka mmoja uliopita, nikasimulia visa vyangu vinne nilivokula tunda kimasihara.
siku ya siku kulikua na ubatizo kwa jirani, baada ya sherehe za ubatizo za nyumban kumalizika, yule jiran akaomba nimsindikize kuwapeleka...