Recent content by Tatumzuka

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kwa wale tuliolelewa kwa ndugu,tukutane hapa na kukumbushana changamoto,chuki na mateso.

    Mimi kwangu pia ilikuwa tofauti nilikaa kwa dingi mkubwa nikafukuzwa lakini nilipohamia kwa watu baki nilisoma kula na kuvaa vizur na hawakunibagua na mpaka picha yangu ya graduation wameweka sebuleni kwao much respect
  2. T

    JamiiForums Tanzania Civil Engineering Vs Mechanical Engineering

    Nashauri aende mechanical - udsm
  3. T

    JamiiForums Tanzania Civil Engineering Vs Mechanical Engineering

    Anayesema soko la mechanical ni bovu aniletee mtu aliyesoma mechanical ana miaka miwili hana kazi toka amalize
  4. T

    JamiiForums Tanzania Punyeto: Nilivyoanza, nilivyoacha na hali ya sasa

    Hongera kiongoz chaputa isidumu milele
  5. T

    JamiiForums Tanzania DIT vs UDSM(COET) projects

    Wengi mnaongea kisiasa ila sisi tuliokwenye field tunajua umuhimu wa vyuo vyote viwili na lengo la kuvianzisha havijaanzishwa kwa maana hiyo ya ushindanishwaji
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Waliomshambulia Lissu watajulikana muda siyo mrefu

    Tanzania ya viwanda na watu wasiojulikana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. T

    JamiiForums Tanzania Hata kama siyo wao, watu wataamini ni wao tu!!

    Mungu amnusuru jamaa ni jembe he is voice of the voiceless Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom