Ikimpendeza mnyika afungue akaunti rasmi ya chama humu, na UZI MAALUM WA TOTETONE HUMU MUDA HUU, UZI UWE ENDELEVU, TUCHANGIE TENA KWA KASI! MUDA HUU HUU, ILI CCM WAZIDI KUUMIA!
Kila plan ya CCM kufarakanisha CHADEMA(wenye nchi) ITAFELI TU!
"Hii ndio shida ya kutembea na madada mehu mehu😡😡😡"
Mkuu , Jobless_Billionaire ...
Shida haiko katika kutembea na wadada wehu wehu.... Shida iko katika kichwa chako cha juu...kuendeshwa akili na kichwa cha chini... na kushindwa kufanya maamuzi sahihi
Ulikuwa unajua wana urafiki na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.