Wanawake jifunzeni kutunza siri, mnatuharibia sana. Saahizi ndoa yangu ipo matatani kuvunjika

Wanawake jifunzeni kutunza siri, mnatuharibia sana. Saahizi ndoa yangu ipo matatani kuvunjika

Kataa mkuu mwamhie huyu mwenyewe kanitongoza nikamkataa labda hasira tu
 
Habari gani kwenu wakuu? Najua mapambano bado yanaendelea, hakuna kukata tamaa..

Kuna uzi niliwahi kushare humu kuhusu huyu mwanamke wangu kuwa na tabia ya kushare mambo yetu ya faragha kwa marafiki zake

Sasa, kwenye moja ya jumbe nilizowahi fumania kwenye simu yake ni ya bidada mmoja anafanya biashara ya uwakala. Sasa huyu dada kila nilipokuwa nikienda kufanya miamala dukani kwake alikuwa ananitazama kimtindo mtindo na vimaneno vya kuchombeza ambavyo sikuwa navielewa hadi siku nilipofumania message zake akiwa anachat na wife mambo ya sirini..

Sasa, kuna wiki kadhaa nyuma wife alipata safari, pale nyumbani nikawa nimebaki peke yangu. Nadhani yule dada wakala alijua hilo kwakuwa ni rafiki wa mke wangu. Siku moja nimeenda pale ofisini kwake nikafanya muamala then tukaanza kuongea kidogo.. katika maongezi akawa ananiambia "saizi mkeo hayupo najua unateseka sana"

Nikamuuliza kivipi?

Akawa anajikanyaga kanyaga tu ila nikawa nimeshamuelewa alicholenga kukisema. Nikawa najitajidi kubadili uelekeo wa mada ili tutoke huko, ila bado akawa anarudia, mara aniambie "mkeo anaweza kusuka leo, kesho asubuhi nywele zimefumika fumuka, inaonekana sio poa eeeh" huku anajichekesha..

Basi nikawa nimemuaga aendelee na kazi. Baada ya kutoka tu nikaona kanitumia ujumbe wa kichokozi vilevile.. nikaona huyu sasa mbona simuelewi.. nikamwambia aende kwenye point aache kurukaruka..

Akaniambia "kama ni mtu mzima utakuwa umeshajiongeza"

Kwakuwa na mimi nilikuwa na hamu zangu nikamuuliza "utaweza kutunza siri?" Akasema "kwanini nishindwe? Labda wewe"

Basi nikawa nimeuliza kuhusu ratiba yake akanielekeza, nikampa location, jioni akatokea

Kutokana na upwiru, ukiongezea na maneno yake ya matusi matusi alokuwa anayaongea wakati nampelekea fire yalinihamasisha kumcharaza bakora kama vile ilikuwa mara yangu ya mwisho sitofanya tena.. Nilimtafuna kila mkao, kama ni kisiki nilimng'oa kwa kila mng'oo,, mwenyewe alikubali.

Tukafanya tena kama awamu mbili baadae.. Nikamwambia ole wako uje umwambie Mke wangu,, utanieleza vizuri.

******

Sasa majuzi kati siku ya game ya Azam na Simba wife akawa karudi kutoka safari. Maisha yakaendelea kama kawaida.

Juzi wife na huyo rafiki yake wakala sijui wakawa wamezinguana nini, wakawa wamerushiana maneno. Katika kurusha huko maneno hilo lidada si likaanza kufunguka hadi mambo tuliyoyafanya, yaani linamwambia wife kwamba kipindi hayupo lilitembea na mimi, na sio mara moja. Kibaya zaidi likascreenshot chats zote nilizochat nalo likamtumia whatsapp.. aisee

Mimi sikuwa najua, nilirudi tu nikakuta wife analia, namuuliza nini shida, akawa ananilaumu sana na kunipigapiga tuvibao akisema "yaani kwakuwa sikuwepo ukaona unisaliti, tena kibaya zaidi na rafiki yangu"

Nilistuka, ila nikajifanya mgumu nikamwambia haiwezi kutokea. Nikaingiza na mfumo dume kusisitiza msimamo lakini baada ya kupewa siku kuona zile sms na yale maneno waliorushiana nilichoka..

Hali ni mbaya sana, sijui naruka vp hapa na mbaya zaidi simu za nyumbani zinakuja kama mvua, Wife anadai anaondoka, nimemdhalilisha sana. Wazee muda wowote wanaweza kuja. Nawaza jinsi gani huu moto ntauzima

Hii ndio shida ya kutembea na madada mehu mehu😡😡😡
Kanuni ni ile ile mzee hakuna kukubali, kataa mpaka mwisho , na usiombe msamaha hata akiondoka wewe kataa tu.
 
Umelikoroga lazima ulinywe.

Siku nyingine tumia namba ingine katika michezo michafu. We unatumia official number ebo!!

Msimamo wetu ni uleule kataa mpaka mwisho kuwa sio wewe hata wakisema wanakuzika ukiwa hai.
Yaah! Hii ndio yenyewe.
 
Umelikoroga lazima ulinywe.

Siku nyingine tumia namba ingine katika michezo michafu. We unatumia official number ebo!!

Msimamo wetu ni uleule kataa mpaka mwisho kuwa sio wewe hata wakisema wanakuzika ukiwa hai.
Hakuna kukubali
 
"Hii ndio shida ya kutembea na madada mehu mehu😡😡😡"

Mkuu , Jobless_Billionaire ...
Shida haiko katika kutembea na wadada wehu wehu.... Shida iko katika kichwa chako cha juu...kuendeshwa akili na kichwa cha chini... na kushindwa kufanya maamuzi sahihi

Ulikuwa unajua wana urafiki na mkeo...hukutegemea hilo kuja kujulikana?!...

Hata wasingegombana na mkeo... lilikuwa ni swala la muda tu!... ingefahamika tu!.....Angetumia kigezo cha kulala kwako wewe na yeye kama tiketi ya kukumiliki muda anaokutaka yeye!.... iwe either kwa kukutishia kumwaga ugali ukikataa muda atakaokuhitaji...mimi sijui!

Chovya Chovya kokote mtaani...LAKINI EPUKA SANA KUCHOVYA KWENYE CYCLE YA MASHOST WA MKEO AMA WANAOJUANA NAE...!

Mimi nimekupa tahadhari baada ya matokeo ya ulichokifanya.....pengine ungenishirikisha mapema kabla ya hili....ningekushauri uchomokeje hapo.
 
Pole sana ndugu Jobless_Billionaire kwa changamoto hizi nzito unazopitia. Ndoa ni taasisi muhimu na inahitaji uaminifu na heshima kubwa kutoka pande zote mbili, inasikitisha sana kusikia mambo yamefika hapa.

Ni kweli, tabia ya kushare mambo ya faragha ya ndoa na marafiki au ndugu inaweza kuharibu misingi ya uaminifu na kuleta matatizo makubwa. Hiki ndicho chanzo cha yote, na ni muhimu sana kwa wanandoa kutambua umuhimu wa kutunza siri zao.

Pia, katika mazingira kama haya ya kukosekana kwa uaminifu na hisia za kutengwa, ni rahisi sana kujikuta kwenye mitego na kufanya maamuzi ambayo baadaye tunayajutia. Kuna wakati hisia na 'upwiru' zinaweza kutuchukua na kutufanya tusahau matokeo ya muda mrefu. Ni muhimu sana kujifunza kutokana na makosa haya na kuelewa jinsi gani tunaweza kujikinga na vishawishi vinavyojitokeza kutokana na udhaifu wa wengine.

Hali ni ngumu lakini si mwisho wa dunia. Kila tatizo lina suluhisho. Kwanza kabisa, ni muhimu kutafakari kwa kina jinsi gani mnaweza kurejesha mawasiliano na uaminifu ndani ya ndoa yenu. Je, umeweza kuzungumza na mke wako kuhusu hili la kushare siri zenu? Na sasa hili lililotokea, kuna nafasi ya kuzungumza kwa uwazi na kueleza hisia zako?

Wakati mwingine, ushauri wa kitaalamu kutoka kwa mtaalamu wa saikolojia ya ndoa unaweza kusaidia sana kuwajengea daraja la mawasiliano na kuponya majeraha yaliyotokea. Ni muhimu kujipa nafasi ya kutafuta msaada na kutatua hili kwa hekima.

Usikate tamaa. Jipange, tafakari, na jaribu kutafuta njia bora ya kushughulikia hili. Tunakuombea nguvu na hekima katika kipindi hiki kigumu.
Hii mbona kama kitisho mkuu

Hapana kabisaa, muhimu ujue kufikiria nje ya boksi kwamba itakusaidia kwa mke wako pia na mengineyo kuanzia utulivu wa moyo wako. Mmefikia wapi? Kaondoka au mmehama?
 
Sikufahamu hilo mkuu.. hata hivyo ulikawia kuufikia huu uzi, huenda ingekuwa mapema ningepata mawili matatu kuona nawezaje kuescape
 
Hatujahama mkuu, ila wazee wamejaribu kusuluhisha naona kama kapoa kidogo.. sasa bado tu kuanza kuishi tukiwa wenyewe kuona ni kweli kaelewa au kuna mapichapicha yataanza
 
Hatujahama mkuu, ila wazee wamejaribu kusuluhisha naona kama kapoa kidogo.. sasa bado tu kuanza kuishi tukiwa wenyewe kuona ni kweli kaelewa au kuna mapichapicha yataanza

Wanawake wengine u nyamaza ila moyoni maumivu, kufa ganzi na kutumia akili kujua maisha wanaishi vipi baada ya matukio kama hay.....
Ila jipange ufate lile alisema gama. Usiende tena kwa huyo wakala, bloki.. Ila umechemsha wewe ndio ufanye kazi.. Sio wazee kila kitu..

Fikiria nje ya boksi jiongeze

Ila ukome 😊
 
Back
Top Bottom