Recent content by Tata ya bana

  1. Tata ya bana

    JamiiForums Tanzania Wanajamiiforum wengi sio great thinkers ni great followers

    Point.humu wengi wamejaa utoto.jamii forum ilikuwa zamani.
  2. Tata ya bana

    JamiiForums Tanzania Kwanini wapalestina hawapati support yoyote kutoka nchi za kiarabu?

    Mkuu salute kwako.Mungu akuongezee maarifa zaidi
  3. Tata ya bana

    JamiiForums Tanzania Kwanini wapalestina hawapati support yoyote kutoka nchi za kiarabu?

    Wakuu naomba mwenye kufahamu yafuatayo ajibu.nchi za ulaya wanamsupport Ukraine katika vita anayopambana nayo,sasa kwann wapalestina hawapati support yoyote kutoka nchi za kiarabu??
  4. Tata ya bana

    JamiiForums Tanzania naomba kujua,Kuna hili kanisa laitwa jeshi la wokovu lipo hasa Dar es Salaam

    Halafu utakuta una ndevu Kila kona.unachat utopolo.shame on you
  5. Tata ya bana

    JamiiForums Tanzania naomba kujua,Kuna hili kanisa laitwa jeshi la wokovu lipo hasa Dar es Salaam

    Mkuu Asante kwa ufafanuzi.nimekubali busara yako.ila hii jamii forum sio kama Ile ya mwanzo,utoto mwingi angalia michango ya huko juu ni hopeless kabisa.kama mtu hujui kitu kwanini asikae kmya???
  6. Tata ya bana

    JamiiForums Tanzania naomba kujua,Kuna hili kanisa laitwa jeshi la wokovu lipo hasa Dar es Salaam

    Wakuu naomba kujua,Kuna hili kanisa laitwa jeshi la wokovu lipo hasa DSM. Naomba kujua je wanna uhusiano wowote na majeshi yetu?nauliza hivyo Kuna siku kupitia redio nilimsikia mtumishi anaongoza Ibadan anaitwa meja---!mwenye uelewa atufungue kidogo!;
  7. Tata ya bana

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa mwenge

    Asante mkuu
  8. Tata ya bana

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa mwenge

    Mkuu Asante ila vigezo zaidi???
  9. Tata ya bana

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa mwenge

    Hello wakuu naomba kujua sifa au vigezo vya kiongozi wa mwenge.
  10. Tata ya bana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lengo la uzi ni kuendelea kukumbushana kutenda wema hata kama mtu humjui

    Umeongea vema sana.lingine tujifunze kusamehe na kupeana second chance.mkuu mm nimechagua kusamehe Ili maisha yangu yawe marefu coz every new day is a second chance.
  11. Tata ya bana

    JamiiForums Tanzania Je, Mahindi ya kuchoma ni salama kwa afya?

    Kuna siku utauliza hv unywaji wa chai una madhara.mzee usiwaze kuhusu maisha utakonda bure.kula kunywa upendacho,ondoa stress.upendo uwe ni wimbo wako hakikà utaenjoy life.
  12. Tata ya bana

    JamiiForums Tanzania Yesu alipogundua NGURUWE ni KICHEFUCHEFU aliwaangamiza

    Dah umenena.
  13. Tata ya bana

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Mjini na Mishe za kushangaza Town. Jifunze kitu...

    Kwahio ulienda kujaza inzi na mirinda yako??
  14. Tata ya bana

    JamiiForums Tanzania Uongozi mbovu ndo unasababisha bidhaa kupanda bei na Kukosa maji na Nishati

    Mkuu Kwa nilipo Malawi naona kuna kaunafuu kiasi kuliko home tz ingawa ni Malawi ni poor sana.huku sukari 1 kg Kwa hela ya bongo ni 1400 na ni super sembe 5 kg ni 2700 mfano Tu la muhimu serikali huko ikubali kuingiza washindani HATA wa kigeni isizuie Kila kinachoingizwa borders la muhimu kiwe...
  15. Tata ya bana

    JamiiForums Tanzania Nahitaji magazeti ya Sani

    Njoo boxini mkuu
Back
Top Bottom