Recent content by taranda

  1. T

    Uwepo Mdahalo wa Wagombea Arumeru

    Tatizo magamba watamkatalia sioi asishiriki kwa vile wanajua kamanda Nasary atamsambaratisha huku umma wa watanzania ukishuhudia.
  2. T

    Lowassa aisambaratisha Kamati kuu ya CCM, Nape hoi, Mswekwa atokea mlango wa uwani, Chiligati kwisha

    Vipi mkuu unatokeza Arumeru au ban ya igunga ina apply mpaka Arumeru?
  3. T

    JOSHUA NASARI karibu JamiiForums uongee na watanzania

    Jamani mwenye cv ya naoa...oh sorry sioi..atuwekee humu tumfaham vizuri manake navoskia jamaa hawezi jieleza full kiswaili. Kinampiga chenga kishenzi
  4. T

    Rais Kikwete ahutubia taifa mwisho wa mwezi Februari

    Dah! Jamaa kamaliza. Mbona sijaona la maana mpaka kuhutubia
  5. T

    Rais Kikwete ahutubia taifa mwisho wa mwezi Februari

    Jamani baba mwanaasha madaktari walisharudi kazini mgomo uliisha. Songea napo pametulia. Naona kama vile unatutonesha vidonda
  6. T

    Wabunge wamkana Spika Anne Makinda kuacha ubunge

    Tena yule ndo ovyo kabisa. Jamaa msanii sana. Akitaka kuyeyusha mada analia. Kapinda kweli ka jina lake. Watakuwa mtu na dada yake hawa
  7. T

    Makamba aibuka

    Wewe inakusaidia nn waandishi wa habari wakikomeshwa? Mtu mzima ovyoo
  8. T

    Makamba aibuka

    Alaf kama kawakomesha ndo inakuwa vp sasa?
  9. T

    Nape: CCM ikishindwa Arumeru ujue chama kitakuwa kinakufa

    Vipi mkuu ban ya igunga imeisha au bado ina apply mpaka arumeru? Funguka mkuu naona unatoa povu tu
  10. T

    Nape: CCM ikishindwa Arumeru ujue chama kitakuwa kinakufa

    Kwani ulaya ndio nini? We vipi?
  11. T

    Aliyeshindwa kura za maoni CCM Antony Msami ahamia CHADEMA achukua fomu za ubunge

    CDM kuweni makini! Watu wa dizaini hii watakuwa mizigo. Shibuda ni mfano hai anavosumbua CDM. Msikubali mamluki hawa
  12. T

    Lema apigwa stop kukampeni Meru

    Wezi watupu mnajikusanya mkaibe kama igunga. Pawepo fair game uome mziki wake. Unalijua hili daktari basi tu njaa yako ndo mana unashadadia mambo ya arumeru. By the way kamati ya maadili walikusulubu vipi mkuu?
  13. T

    Nape kabla ya kuja Arumeru tuombe radhi wachaga

    Duh! Kundi gani tena ili la viumbe hai
  14. T

    Lema apigwa stop kukampeni Meru

    Ndio maana mikoa mingine vizee vinauawa..si bure
Back
Top Bottom