Recent content by tapemeasure

  1. tapemeasure

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje kukaa gheto?

    Kuondoka Nyumbani kwanza ni swala moja la kujitambua, lakini linaitaji mamuzi magumu sana na sio swala la kujionea huruma au la kujiuliza sasa itakuwaje? Napenda kuelezea jinsi ya mimi nilivyo ondoka nyumbani na kwenda mtaani na kuanza kupanga geto. Nilimaliza chuo mwaka juzi nikiwa na umbri...
  2. tapemeasure

    JamiiForums Tanzania Wadau, hivi maneno haya yasiyoeleweka wakati wa maombi ni kuigiza au kipawa maalum?

    Ujakutana na mkatoliki alie badilika kidogo. Huwa ni wananena sana.
  3. tapemeasure

    JamiiForums Tanzania Mungu Amekufa

    Mawazo mazuri sana.
  4. tapemeasure

    JamiiForums Tanzania Vikubadilishe au vikuuwe

    Kutafakari wewe ni nani husaidi Kutengeneza njia zako kama radi huokoa.
  5. tapemeasure

    JamiiForums Tanzania Niongee na graduates: Ni biashara bora na rahisi ambayo unaweza ukafanya online 2025

    Kuna mtu akisoma hivi anajuwa ni gafla anapata wateja na anapata pesa. 😂😂 Cha kuongezea hapa ni kwamba. 1. Soma kwanza jifunze juzi na chagua juzi ambayo unaona ni rahisi kwako kuifanya. 2. Baada ya hapo fanya kwa kujitolea ili uweze kuona ni kweli unauwezo. Mfano nitaongelea kwa graphics...
  6. tapemeasure

    JamiiForums Tanzania Naomba tafsiri ya ndoto ya kuachwa na ndege kisa kusahau passport

    Habari sio mtalaam wa mambo ya ndoto but napenda kutafakari kupitia details. Ukicheki hapa una details kama. 1. Safari ya ndege njee ya nchi na ni yakikazi. 2. Group la wafanyakazi wenzio wakifanikiwa kuondoka kwa ndege. 3. Unashindwa kusafiri kisa passport. Kwangu naona nikama opportunity...
  7. tapemeasure

    JamiiForums Tanzania Game gani lilikuteka kihisia ukajihisi na wewe ni muhusika ndani ya game

    Lazima kila alie cheza hili game akubali shooo IGI 2 ni ngumu. Na kuna GTA 3 nikisanga nalooo
  8. tapemeasure

    JamiiForums Tanzania Special kwa wachagga tu.

  9. tapemeasure

    JamiiForums Tanzania Game gani lilikuteka kihisia ukajihisi na wewe ni muhusika ndani ya game

    Ukicheza IG unajiona kabisa wewe ndio yule mwamba
  10. tapemeasure

    JamiiForums Tanzania Game gani lilikuteka kihisia ukajihisi na wewe ni muhusika ndani ya game

    Baba unafata mishine mpaka chuma ikipigwa unashtuka 😁😁😁 unajiona upo ndani ya game
  11. tapemeasure

    JamiiForums Tanzania Game gani lilikuteka kihisia ukajihisi na wewe ni muhusika ndani ya game

    1. GTA 2. Need for speed Most wanted
  12. tapemeasure

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuingia naye kwenye mahusiano yenye malengo

    Baba Kabla ya yote tambua ndoa ni taasisi na sio kikundi cha watu wa wili. Kunakitabu cha wasabato kinaitwa NYUZI YA KAMBA TATU. Kitakupa mwongozo mzuri wa kumpata mtu hatua za kuwashirikisha wazazi mpaka kufika kuowana.
  13. tapemeasure

    JamiiForums Tanzania Biashara ipi rahisi kuiendesha hata ukiwa mbali?

    Fanya biashara ya uwekezaji huko UTT
  14. tapemeasure

    JamiiForums Tanzania Fursa zilizopo DR Congo

    Hii nzuri ngoja ni ngoje madini
  15. tapemeasure

    JamiiForums Tanzania Nataka nichukue mkopo ninunue mabasi ya mikoani

    Tafuta mashine ya kudarizi ata vichwa viwili. Wewe dili na kudarizi tisheti za vikundi na tasisi za kidini tu Au unaongeza shule za privet tu.
Back
Top Bottom