Duh! Huwez olewa sehem nyingine? Acha uleviaisee mambo ya December hayo tukienda kuhiji mkuu, yaani swaafi kabisa 🙂
Sijui ungetupia na mp 3 ya iringi kidogo, au mwenye nayo atupie.., oteree...tere tete...najivunia sana uchagga wangu aisee!
Siwezi olewa sehemu nyingine aisee!
Duh! Huwez olewa sehem nyingine? Acha ulevi
Karibu womi na waka..!
Kwashikumbura moshi den be na kwa wikau upata
Hoii mana mwele Chamecha.