Historia inasubiri kumhukumu huyu mtumishi alienajisi nafsi yake na kilevi cha madaraka aliyoyatumia vibaya....sasa anafanya harakati za kuikwepa hukumu...hofu hofu hofu imejaa nafsini mwake...haya ni mahangaiko tuu!
sidhani kama kuna tamko au waraka kutoka kwa maaskofu ambao ulishawahi kutolewa kama hivi....wale wanaojitoa ufahamu wanapaswa tuu kujiuliza kwanini kipindi hiki....?Kwa nini awamu hii? Je ni bure tuu?Hakuna hoja zenye mashiko zilizopelekea waraka huo kutolewa?
Acha Siasa kwenye mambo ya utu ndugu....utu ukithaminiwa maendeleo ni matokeo...na yanaakisi thamani ya utu....wachana na habari za kujenga vibanda...ukijenga utu na fikra mtu atajenga nyumba otherwise ni kujenga vibanda na mazizi watakamoishi mbuzi na kuku na sio watu....!
Huku ni kufilisika kifikra kwa kiwango kisichoelezeka, Hivi Unajua gharama ya maendeleo bila uhuru kweli wewe....?Unataka theluthi ya watanzania watolewe kafara ili magorofa yajengwe alafu bado wabaki kwenye magereza ya kifikra....magereza ya kihuni kuliko unavyoweza kufikiri...kafara ya maisha...
U are missing the point....Shida sio kuwaacha katika eneo la hifadhi, Shida ni nini msukumo wa kuwaacha, Kuwahamisha watu sio shida, shida hua ni je Utaratibu wa kuvunjia watu makazi yao unafuatwa, ikiwa taratibu za kuvunja makazi ya watu zinafuatwa then malalamiko yoyote hukosa mashiko, its...
Kituko cha Ubaguzi na Upendeleo huu wa wazi wazi wa CCM ni kua wanajitengenezea kitanzi wao wenyewe na Wananchi wanaopendelewa.
Kwani Shule ilikua ni kwa maendeleo na faida ya nani? Ni nani anayepoteza kwenye upendeleo huu?
Lakini Pia hii ni one more point katika uvunjifu wa Sheria kwa...
Atleast huu ujumbe ungetoka kwa ZZK...Kafulila ameshajichanganya saaanaa kwa kweli...He is a wrong moderator on this debate.... Uchambuzi wake ni mzuri na mzito, ila maamuzi aliyoyafanya hivi karibuni huu ujumbe unaishia kua maji tuu....totally diluted, How does a mind that does an analysis like...
Binafsi naona kua mifumo yote miwili ina mapungufu makubwa na kila mfumo una ukatili wake pia....Lakini Nanadhani Mfumo wa soko huria (kibepari)...kwanza unasynchronize na principles of nature implying that human race is diverse in so many ways including thought and action we can never be the...
Naunga mkono Hoja Mkuu
Kitu kilichokua kinamtia kichefuchefu Mzee na kama ukidadisi ndio kilikua moja ya misukumo yake mikuu ya kufanya maamuzi ni ile hali umatabaka,Mzee alikua ana kisirani cha hali juu sana na matabaka...hivyo alipoona dalili za utabaka kwenye ubepari....mzee aliudemonise...
Sina uhakika wa yaliyomo hapo juu but i sense political radicalism with this Polepole Guy, Ideological radicalism, this kind of individuals are like an unmanifested fatal malignancy in the governance of any nation.
People will agonize in a great deal of pain if these individuals get a position...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.