mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,770
- 2,171
Si ni huyu huyu Kafulila ameahmia CCM kumuunga mkono JPM wakati mambo ndo varu varu hivi!Kafulila ni bora ukakaa kimya, katika pande hii ya dunia ukweli huitwa uchochezi na inaweza pelekea kuhojiwa!
Ila mimi nilikuwa nadhani kuwa kama utekelezaji wa bajeti iliyopita haukufikia 50% bauu varsi wangepanga bajeti ya trillion 18 ili kuwa realistic. Haya mambo ya 'aiming higher' yanatupotosha maana ni sawa na mtu wa miaka 45 anayefanya mazoezi kwa bidii ili aweze kucheze world cup.