tahadhari kumpenda lowasa si kosa' swali kwenu mumpendao 1:mnapenda lowasa kwa lipi hasa? Wakati alijiuzulu kwa kashfa ya ufisadi? hatakama hakua fisadi lakini ktk cheo chake kama waziri mkuu alishndwa kuwadhibiti mafisadi wa richmond na akakubali huo udhaifu alio nao kwa kujizulu je tukimpa...
Jamani kwanza wote tumeoza kwani wanafunzi hawa wako kwenye jamii iliyoyokosa maadili kwa kiwango kikubwa kwani tabia zooote mbaya walizo nazo wameiga kwetu ndio maana tunashindwa hatakuwakaripia tunaishia kusema niliona nikasikitika sana so wote tubadilike, pili hawa waalimu waliopewa jukumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.