Recent content by Tanzania unforgettable

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mchikichini: Mtaa wa mateja uliotoa vipanga wengi kielimu Dar na mikoani

    Kumbukumbu nzuri nilipita sehemu hizo 1998 hakika wanahusika na mafanikio yangu ya kielimmu
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Roman Luoga afariki dunia

    Rip Luoga
  3. T

    JamiiForums Tanzania Rungwe -Tukuyu pazuri kuishi 100%

    Uko sahihi nimewahi fika hapo hakika pana neema watu wa hapo wako kikazi zaidi.Asante kwa ukaribisho
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

    Ni vyema aendeleze alipoishia mwenzie
  5. T

    JamiiForums Tanzania Milio ya mabomu

    Yatakuwani mazishi ya Jaji mstaafu Augustino Ramadhani walisema atazikwa leo kimara
  6. T

    JamiiForums Tanzania Vodacom yachangia Tsh. 2 bilioni mapambano dhidi ya Corona

    Asanteni vodacom kwa kusaidia janga hili
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Mtaa wangu kwa kweli naona watu wameelewa kiasi kikubwa mabanda ya video na vijiwe kwa sasa havina watu , ndoo na sabuni pia wameweka sijajua he wananawa Mara kwa Mara au ni pambo tu
  8. T

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu vibali vya ujenzi, umuhimu wake na namna ya kuvipata

    Habari wana Jf Niliwahi kupata kuishi morogoro na kupata kujenga sehemu ya kujisitiri katika kiwanja ambacho hakijapimwa japo nimekuwa nikilipia jengo hill hapo manispaa. Nimepata taarifa kunatakiwa kibari cha ujenzi kwa sale tulio wahi kujenga bila vibali naomba kujua hatua za kufuata ili...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kero za barabarani baada ya Kangi Lugola kutumbuliwa

    Mabadiliko hayana budi kutokea ila kama kuna mazuri aliyasimamia Kangi ni vizuri tukayaendeleza,na sio kurudi nyuma tena
  10. T

    JamiiForums Tanzania Huduma mbovu za Mtandao wa TTCL: Malalamiko ya wananchi

    Mimi Ttcl nilipo sijutii kabisa asante Ttcl
  11. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga Mwanza

    Maeneo gani mwanza pana ndugu
  12. T

    JamiiForums Tanzania Aibu kuu kwa nchi yangu Tanzania huko Saudi Arabia: Bondia apigwa kipigo cha mbwa koko

    Ndugu zangu Tanzania husifika kwa ndondi kimataifa, lakini cha kushangaza leo hii wameshindwa kutoa upinzani kiasi cha kupigwa wote kwa KO. Boxing Federation hamna cha kukwepa yaani mmetia aibu taifa kwa maandalizi hafifu. Hivi waliteuliwaje hao vijana au michongo?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Hekaheka za panya ndizo humponza; angekula kimya kimya wasingetengeneza sumu ya panya

    Panya hao hupatikana kwa married tu kwa single hawezi kaa hakuna msosi
Back
Top Bottom