Si anakuwa amepata... kwani we ulitaka iweje???Halafu ukipata taarifa itakuaje
Nilifikiri itakuwa anapata naSi anakuwa amepata... kwani we ulitaka iweje???
...
medalsSasa unachoshangaa nini mkuu? Ndoo mara ya kwanza unasikia vifo kutokea?aisee,taarifa za misiba zimetawal sana humu ndani...kunani huko!?
Sawa mkuu, mimi sijasomea mambo ya vifoChombo chochote cha habari kikitangaza kifo husema wazi ndugu Fulani anatangaza kifo.cha mjomba wake kilichotokea nk na uthibitisho .Hata kama ka quote radio awe ndugu na aweke uthibitisho .Jamii forums ni chombo cha habari kama vingine principle ni ile ile hasa kwenye matangazo ya vifo
maybe 🙄...Sasa unachoshangaa nini mkuu? Ndoo mara ya kwanza unasikia vifo kutokea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka kuuliza hili pia.huyu si mwalimu mkuu wa shule ya msingi bungo hapo Moro town au nimekosea???
bila shaka itakuwa imepungua baada ya wengine kufufuka baada ya kupigishwa nyungu
Hapo kwenye chama cha soka nilidhani mapinduzi.Source: Clouds FM
Huyu alikuwa Katibu wa kamati ya uchaguzi wa chama cha soka Morogoro.
Chanzo cha kifo hakijatajwa.
Sorry Kwa kumjibia ..lakini ni vizuri kupata taarifa...Halafu ukipata taarifa itakuaje
Ok,subiri baada ya uchaguzi,tutatunga hiyo sheria unayoitakaChombo chochote cha habari kikitangaza kifo husema wazi ndugu Fulani anatangaza kifo.cha mjomba wake kilichotokea nk na uthibitisho .Hata kama ka quote radio awe ndugu na aweke uthibitisho .Jamii forums ni chombo cha habari kama vingine principle ni ile ile hasa kwenye matangazo ya vifo