Recent content by tanzania digital

  1. tanzania digital

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Umeshamaliza mitihani yako ya darasa la saba sasa umekuja kutusumbua huku?
  2. tanzania digital

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. John Pombe Magufuli

    Umesahau kitu kimoja. Tutajie na wasanii watakaotumbuiza katika hiyo fiesta ya CCM
  3. tanzania digital

    JamiiForums Tanzania GE2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

    Hii ndio shida ya JF kuvamiwa na vitoto vya Facebook.
  4. tanzania digital

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nyehunge: Dkt. Magufuli amuamrisha Mfugale atangaze ujenzi barabara ya Sengerema-Nyehunge (KM 46) kisha amuulize hela za kujengea

    Haya ndio madhara ya katiba yetu yaani huyo ni mgombea wa kiti cha urais wakati huo huo ni rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
  5. tanzania digital

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya amani kwa wanafunzi wote wa vyuo nchini

    Ccm mbele kwa mbele
  6. tanzania digital

    JamiiForums Tanzania Muongozo: Mapokezi ya Lissu

    Kutokana na msiba mzito huu wa Kitaifa usitegemee kufanyika kwa mapokezi ya Tundu lisu tena kwa maandamano.
  7. tanzania digital

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ally Bananga atia nia ubunge Arusha mjini - CHADEMA

    Hawakawii kuunga mkono juhudi hawa. Arusha mjini Lema anatosha.
  8. tanzania digital

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa Mtwara awatembelea watengenezaji wa pombe ya Gongo, afurahishwa na kuahidi kukirasimisha kinywaji hicho

    Daraja la tatu ni safi sana kuliko hata k. Vant Sent using Jamii Forums mobile app
  9. tanzania digital

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, ukiwa unatoka Chato pitia Hospitali ya Mlonganzila iliyobatizwa Vingunguti

    Hapo ni zaidi ya machinjio Sent using Jamii Forums mobile app
  10. tanzania digital

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana CHADEMA Tanzania Bara, Getrude Ndibalema ahamia CCM

    Ni nani aliyekwambia huyu mtu alikuwa mwanachama wa chadema? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. tanzania digital

    JamiiForums Tanzania Lissu, kukuchangia hela halafu unapiga picha unatumbua minyama siyo sawa

    Wewe ulitaka apige picha anakula kinyesi? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. tanzania digital

    JamiiForums Tanzania Uraia wa Zitto Kabwe sasa kuamuliwa Mahakamani

    Hivi ukiwa uvccm akili huwa zinaganda? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. tanzania digital

    JamiiForums Tanzania Kikokotoo na Fao la kujitoa: NSSF yaanza kutekeleza maagizo ya Rais Magufuli

    Huku Psssf wao bado wanasubili muongozo. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. tanzania digital

    JamiiForums Tanzania Dreamliner Boeing 787 yaanza safari za nje, yapeleka nyama ya mbuzi Dubai

    Serikali si ina pesa kwa nini isinunue ndege ya kubeba mizigo? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom