Recent content by TANURU

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kuna Uwezekano Sitapiga Kura

    Pele, Ulichokisema ni sahihi kabisa.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kuna Uwezekano Sitapiga Kura

    Mkuu ushauri mzuri, lakini..........
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kuna Uwezekano Sitapiga Kura

    MwanaHaki Umetoa changamoto nzuri sana.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kuna Uwezekano Sitapiga Kura

    Ubungoubungo, Post yako ni nzuri na wala usinielewe vibaya kuwa nawashawishi watu wasiende kupiga kura. Najizungumzia mimi mwenyewe. Ila ikitokea DR. SLAA akipitishwa na chama chake kuwa mgombea Urais, msimamo wangu unaweza kubadilika.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kuna Uwezekano Sitapiga Kura

    Ushauri wako ni mzuri. Lakini haya mambo yasiyofaa tutaendelea nayo mpaka lini? Naomba pia tumsome Tripo9 hapo juu. Pia naomba tujiulize wale watu ambao tunajiita wasomi wa nchi hii kwa nini hatujitokezi waziwazi na kuvisaidia vyama vya upinzani kuwa imara zaidi ili kuleta ushindani thabiti na...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Sukari inafika kilo1 shilingi 2,000/=(elfumbili)!

    Kama ni kwa familia nzima mkuu, sitii neno.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kuna Uwezekano Sitapiga Kura

    Mkuu matusi ya nini? Bahati mbaya huo ndiyo msimamo wangu.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kuna Uwezekano Sitapiga Kura

    Wakuu, Kama hali ya mambo itaendelea kuwa mbaya zaidi sitegemei kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu. Pamoja na hali ya mambo kuendelea kuwa mbaya, Jambo pekee ambalo litanishawishi nipige kura ni iwapo tu wahusika halisi wa KAGODA watafikishwa mahakamani kabla ya mwaka huu wa fedha...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Economist Intelligence Unit on Kikwete/Tanzania

    Ni mfalme lazima aendelee hata kama wapiga kura watakuwa laki moja tuu.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Sukari inafika kilo1 shilingi 2,000/=(elfumbili)!

    Kwani unakula kilo nzima ya kuku kwa mlo mmoja tu? Hizo shilingi 10,000 ni pesa nyingi sana usizifanyie mchezo.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi rasmi wa JF Aprili 2010

    Kama ingekuwa kila HIT ni mtu mmoja, kwa mwaka JF inatembelewa na zaidi ya nusu ya wakazi wa bara la Afrika. Kwa upande mwingine ndani ya miaka 12 kuanzia mwaka huu idadi ya HITS itakuwa zaidi ya bilioni 6.48 ambayo ni zaidi ya wakazi wa dunia yetu kwa sasa.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Zitto njia panda

    Popote pale atakapogombea HAWEZI KURUDI BUNGENI. Labda ajifariji kwa kumsindikiza JK kwenye Urais.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    Ubarikiwe sana mkuu. Binafsi nahitaji kama ekari 200 kwa ajili ya kupanda miti ya mbao je naweza kupata?
  14. T

    JamiiForums Tanzania JK na Tume ya Mipango

    Namfahamu Philip Mpango vizuri. Naamini atafanya kazi nzuri. Ni mtu makini na ni mtendaji mzuri.
  15. T

    JamiiForums Tanzania JK ana mapungufu lakini ana credit katika utawala bora

    Siku wakuu na wahusika halisi wa KAGODA wakifikishwa mahakamani angalau ndiyo tutaona kuwa amedhamiria kupambana na Rushwa.
Back
Top Bottom