Recent content by Tangriest

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

    Uyu dogo anatudanganya,kuna mwaka flan nlikuwa nafanya kazi mizan moja ya kupimia magari mkoa flan, kuna kipindi flan yakapita magari mengi sana mapya zaidi ya 50 aina ya semi trailer yamebeba mahindi yanapeleka nchi jiran, tuliwauliza madereva zaid ya kumi yale magari ni ya nan, na wote...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dr. Tulia asijiuzulu kupisha uchunguzi?

    Tulia ni chakula ya mutu mukubwa .
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa shule binafsi kutofungua shule zao

    Unakosea, si kila mtu anapeleka mtoto private ili apate elim bora, wengine ni ubora wa service, vitu kama mazingira, malazi, afya na lishe ndo wanafuata. Kumbuka ni matajir wachache sana ambao wanajali ubora wa elim atayopata mtoto wake, wengi wao kupeleka mtoto shule za gharama ni sifa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Prof Lipumba kuwa mshauri wake [TETESI]

    Kwa hili , kuna dalili kubwa upinzani kupewa nafasi ndan ya baraza la mawaziri
  5. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Prof Lipumba kuwa mshauri wake [TETESI]

    Zanzibar inakwenda kukombolewa
  6. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Prof Lipumba kuwa mshauri wake [TETESI]

    Kwa iyo Pro Lipumba ndo ataamia CCM au ataendelea kuwa UKAWA ( CUF ) .?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Makubwa yaibuka baada ya kutega camera ya kalamu chumbani

    Uyu jamaa hamjamwelewa, hakuna sehem aliyoandika hiyo nyumba ni yake, ndio maana uyo anayemwita mkewe anauwezo wa kumruhusu rafiki kulalwa kwenye kitanda chao, na sio kwamba anaogopa kuuliza,ila anajua akifanya hivyo anafukuzwa sabab nyumba pamoja na mali zote ndan si zake ni za mkewe
  8. T

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete amtambulisha Makamu wa Rais Mama Suluhu kwa Rais wa China

    Kwa iyo JK kadandia lift ya Samia au kapewa nauli na JPM..?
  9. T

    JamiiForums Tanzania #WhatWouldMagufuliDo: Rais Mpya wa Tanzania atamba Twitter

    #WhatWouldMagufuliDo
  10. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kumshitaki Mkumbo mahakamani

    JF wafanye mpango wa kurudisha kile kitufe cha like, Asante sana mkuu
  11. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kumshitaki Mkumbo mahakamani

    Great thinker, pokea like bro
  12. T

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Polisi wasipochukua hatua, sisi tutachukua hatua wenyewe

    Uyo malaika kabla hajafika kwa Lowassa, lazima apite kukusalimia kwanza wewe
  13. T

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Polisi wasipochukua hatua, sisi tutachukua hatua wenyewe

    Akili za nyumbu utazijua tu.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Mikoa ya Tanga na Kilimanjaro, wasitisha likizo zote za Watumishi wa Umma katika mikoa yao

    Lini mkuu, maana na uhakika Omben tungekwishakuwa tumemsikia, Kumbuka agizo lolote linalotoka ofisi ya raisi na kuwagusa watumishi wa umma moja kwa moja ni lazima liitiwe press na bandiko liwekwe kwenye tovuti ya kuu ya ikulu.
Back
Top Bottom