Chiu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 375
- 112
Wanted to go out wit BAE, and then I thought #WhatMagufuliWouldDo. Niko single sasa...
Kula like 100
Wanted to go out wit BAE, and then I thought #WhatMagufuliWouldDo. Niko single sasa...
Nimejifunza wakenya wapo active sana kwenye mtandao na hawana roho za kwa nini sana, wabongo hata ufanye nini wao ni kukosoa tu, na sitegemei kuona wabongo wakimsifia kiongozi yoyote wa Africa kama wakenya wanavyojiachia kwenye mitandao.
Khaa!! Nilitaka nidate na mtu nikajiuliza #WhatWouldMagufuliDo# then nikanunua a piece of soap 😎
:mvutaji:halafu ikawaje baada ya kununua