Recent content by Tangantika

  1. T

    Mwenye dawa ya Kisukari ambaye yupo tayari kutuma sampo Ujerumani tuwasiliane

    Fuatilia kisa cha utafiti wa chanjo ya ukimwi ya wakinya na hao wazungu. Ipo hivi watafiti wa Kenya walitafiti maambukizo ya vvu kwa malaya. Wakawa wanawapima kila baada ya kipindi fulani. Wakaja gundua kuwa kuna malaya vvu haviingii kwenye mwili hata walale na mbaba wa vvu. Sasa wakaanza...
  2. T

    Serikali ya Zanzibar yapiga marufuku "Shule nyumba"

    Soma comment vuzuri. Unaelewa neno "HOME SCHOOLING" ? .
  3. T

    Wakongwe wa Coding Wanaogopa AI — Lakini vijana wanaikumbatia na kuwapita kwa Kasi

    Sawa na muziki wa computer na wa band kutumia ala halisi. Wanamziki wakongwe( kina king kiki, Ali zoro nk ) waliamini ktk band kina diamond waka amini CD. Leo matajiri ni wale wanaotumia nyimbo za studio ya computer. Jambo lingine ni hand writing vs keyboard/ office programs. Autocad vs hand...
  4. T

    OpenAI Wametupiga kwenye GPT5

    Yanatia Ichizo.Kuna tiktoker mmoja yeye kila AI. This is AU game changer save this video before it is deleted. Kola siku kuna AI mpya. Kiujumla zinatia uchizi.
  5. T

    wahitimu wetu wa IT wamelala sana, kuna mitandao kibao ya kupiga Dola Online lakini bado wapo mitaani ramani hazisomeki.

    Mwamri, kigwangala, Nasari wamerudi kuomba ajira ya ubunge .Mtaani kugumu nyie.
  6. T

    wahitimu wetu wa IT wamelala sana, kuna mitandao kibao ya kupiga Dola Online lakini bado wapo mitaani ramani hazisomeki.

    Ukipigwa interview utatoboa ? Issue ni competence sio kuwa IT. Kila fani ipo mtandaoni ila upu compefent.Mfano typying docs una5akiwa uwe na speed ta kuanzia 60words/sec sasa wabongo wangapi wana speed ya kuchapa maneno hata 39words per sec? Portifolio ilioshiba inatakiwa. Kitu kikubwa sana ni...
  7. T

    Bei ya kilo ya Prickly pears tunda ni sh 31,000/ wale wa kule kwetu haya ni mengi sana karibuni.

    Mtalimishwa kila kitu. Kitu ambacho hakiliwi au kutumiw TZ achaneni nacho.Mnakumbuka macademia nuts.
  8. T

    Kabudi na Kigangwala walipita kura za maoni?

    Kigwangala alikuwa anaeleza safari yake ya ujasiliamali, nakumbuka kuna makala zake zililletwa humu. Swali uhasiliamali huwa hauendi bila kuwa mbunge au waziri? Kwa nini asiendeleze tu ule ujasiliamali ? Kigwa motivational influencer. Maamri nae kanisa lilimshinda akaamua agombee ili aboreshe...
  9. T

    Jinsi Nilivyojifadhili Chuo cha kati na sasa chuo kikuu bila backup yoyote

    Kwa maana ya gharama ya chakula. Chakula sio ghari.Mzunguko wa pesa ni kweli mgumu na shughuli nyingi za vibarua wa kilimo.
  10. T

    Serikali ya Zanzibar yapiga marufuku "Shule nyumba"

    Karne hii watu bado wanawaza elimu kutolewa kwenye majengo ? Kukusanya watu uwaelimishe ni mtindo unaenda kupitwa na wakati.Teknolojia inawezesha elimu unaipata popote. Huu ndio mda wa kutunga sera za HOME SCHOOLING. Waafrika ndio kundi linaloenda kizamani zamani. Conservative people.
  11. T

    Mzungu mwanadamu pekee anaejitahidi kuisaidia dunia, waliobaki wapo kwajili ya matumbo yao, makabila yao, dini zao, n.k.

    Hizo nyuklia za kuua maelfu ya watu ni jambo jema ? Wanakuja kutalii wanaenda porini kuua wanyama for fan.Kuna mweusi anaua simba, twiga kujifurahisha. Unaunda silaha unauzia watu wauane, huo ndio ustaraabu.l? Unaunda kemikali unasambaza kwenye ardhi kisha ardhi inaharibika milele hio ndio...
  12. T

    Ushauri kwa Pastor Tony Kapola , kuprove watu wrong, andaa siku ujaze mtungi mtupu wa gesi live mbele za watu

    Mnatia mchanga kitumbua cha wachungaji. Ili mradi kuna mabwege yanapeleka hela tumuache ajipigie pesa ikiwezekana apige na mashine za hao wadada wanaomchangia.
  13. T

    BILA KULIPIA vs KULIPIA: Artificial Intelligence(AI) TOOLS ZA BURE NIMETUMIA MWAKA 2025

    Jaribu hizo prompts Kwenye KIM AI af utupe matokeo. Kwa tathmini yangu KIMI hana uchoyo kulinganisha na deepseek au claude au chatgpt. Chatgpt nadhani inafaa projects ndogo sana, kubwa mpaka ulipie tena sijui maana sijawahi tumia ya kulipia huenda nayo ikawa miyeyusho. Vilevile Chatgpt inakupa...
  14. T

    BILA KULIPIA vs KULIPIA: Artificial Intelligence(AI) TOOLS ZA BURE NIMETUMIA MWAKA 2025

    Kama huna ujuzi wa hilo somo ni ngumu kujua kama AI imekupa matokeo sahihi.Otherwise prompts zitengenezwe na mtaalamu wa hilo somo. Nilijaribu kwenye quantum computer ilivyotoka Chatgpt , niliitaka to derive Schrodinger equation, haikuleta matokeo mazuri.Ina maana kwa mtu ambae haijui hio...
Back
Top Bottom