The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,151
- 20,065
Deepseak binafsi simshauri mtu. Ni ya hovyo.Vizuri, Tufanye hivi, Hoja ni kutumia FREE Ai
Bado GPT3 ni very weak:
Jaribu kutumia hizi ai mbili zingine ni free na ni bora na zinalinganishwa na miamba ya AI kwa ufanisi.
- Deepseek Ai
- Qwen Ai
- Grok 3
View attachment 3440697Code:1. https://chat.deepseek.com/ 2. https://chat.qwen.ai/
Enzi zile imetoka ikawa maarufu sana, nilikua naijaribu na task za kawaida inanipa majibu ya ajabu ajabu sana wakati huo huo same task nikiipa chat GPT inanipa majibu yamenyooka.
Pia siioendi kwa sababu ya kua sawa na duplicate ya chatgpt, response zake ni chatgpt like..
At least now grok imeanza kunivutia kidogo hasa kwenye upande wa picha. Grok sasa kwenye picha inapambana na midjourney.
Binafsi natumia hizi.
1. Chatgpt
2. Gemini
3. Grok.
Hizo zinanitosha kabisa.