Recent content by tanga kwetu

 1. tanga kwetu

  Kutenguliwa Uafisa Habari ACT-Wazalendo

  Uliyoyaandika yawe hakika yamekutoka moyoni. Tusisikie umebadilisha angani wiki ijayo
 2. tanga kwetu

  Zitto: Serikali ya awamu ya Tano yatia fora kutofikia malengo ya Bajeti

  Wewe ndio umejitia aibu na fedheha. Wapi ZZK anashangilia? Wewe na wenzio wengine msio na uzalendo hanpendi kuona wananchi wanapata elimu ya uraia. Wanaioachambua ripoti ya CAG kama Zitto wako wengi. Yeye anaxhambua kilichofanywa na kuonwa na CAG. Haiongei kilicho chake. Umeacha kuchambua...
 3. tanga kwetu

  Salary Advance: Janga linalowatafuna Watumishi wa Umma

  Mtoa uzi hujaelezea ubaya wa hii kitu ni nini? Hasara anayopata mkopaji ni nini ikiwa amepata sababu ya kukopa? Nachohisi, mtoa thread ni mmoja wa wakopeshaji wa mtaani ambao "salary advance" imewapiga Kofi la uso maana wateja wamewakimbia
 4. tanga kwetu

  Ni wakati sasa Tanzania kuisaidia China

  tuliwasaidia Zimbabwe mbegu za korosho na pia kiuwauzia mahindi kwa bei ya kulangua. hii inatosha
 5. tanga kwetu

  Upinzani mmejisahau sana kuhamasisha watu kujiandikisha daftari la wapiga kura!

  kampeni hii ina sura ya kitaifa hivyo ingepaswa kuratibiwa na makao makuu (viongozi wa kitaifa). viongozi wa majimbo eg wabunge au wilaya au mikoa au kanda wangeongezea nguvu tu. lakini kwa ugaidi wenu CCM mmewakataza viongozi wa kitaifa, kimkoa na kanda kufanya mikutano isipokuwa wabunge tu...
 6. tanga kwetu

  Mitt Romney akalia kuti kavu GOP baada ya Usaliti, hata USA usaliti not allowed!

  amesimama katika alichokiamini kwa maslahi ya taifa lake na si chama.
 7. tanga kwetu

  Zitto Kabwe asubiriwa na Bunge kueleza lengo la barua yake Benki ya Dunia kuzuia mkopo wa kuboresha Elimu (SEQUIP)

  1) amejua kujenga na kutetea hoja wakamuelewa 2) Zitto kawakilisha tu kundi kubwa la watetezi wa haki elimu kwa wasichana wa Tanzania 3) Ndugai, bunge lako limekuwa part ya serikali.....limekuwa hovyo kabisa na dawa ni kuli-bypass 4) afuate urasimu wa kuwasilisha mabadiliko ya sera wakati...
 8. tanga kwetu

  Watangazaji wa idhaa za Kiswahili wa BBC, VOF na DW shame in you!

  Mkuu, tupo mwaka2020 sasa na sio mwaka1990. Physical distance isn't a barrier any longer to get info. Gazeti gani halina online outlet?
 9. tanga kwetu

  Tanzania yatajwa katika nchi yenye madeni makubwa huku ukuaji wa DGP takwimu zake hazifanani na uhalisia (kupikwa) tuna hatari ya kwenda Zimbabwe

  Mtu au chombo cha habari kikiandika habari ya kuwasifia HAKITUMIKI ila kikiandika udhaifu au habari msiyoipenda KINATUMIKA. Ukiwa hupendi kukosolewa, piga marufuku kusifiwa pia
 10. tanga kwetu

  Watangazaji wa idhaa za Kiswahili wa BBC, VOF na DW shame in you!

  Magazeti almost yote nchini (about 90%), TV stations almost zote za nchini (around 90%) zinawasifia bado haziwatoshi?
 11. tanga kwetu

  Polisi wamekanusha kuwepo kwa tuhuma za kuhujumu njia ya reli katika Mkoa wa Kilimanjaro

  Ndio ule msemo "ukicheka na mbwa atakufuata hadi msikitini". Huyu dogo anaharibu kila uchwao anachekewa tu. Naona hadi siku alete kilio kizito kwa jamii au serikali ndio JPM ataamka kuhusu huyu dogo. Utamu wa kumhujumu Mbowe umemnogea. Dogo anapenda blackmailing so probably wale wenye mabasi...
 12. tanga kwetu

  Professor Assad Asimulia alipokuwa

  So kuna watu walikaa standby wanasubiri Prof Assad atamke kweli alitekwa?
 13. tanga kwetu

  Rais Magufuli na mbinu ya Charm offensive: Ujuha wa Chadema

  Natambua na kuheshimu mawazo yako lakini naomba kupishana nawe,mkuu. Nilivyoelewa mimi ni kwamba, CHADEMA wamejibu swali la "mlifanya nini kutafuta maridhiano ya kitaifa". Washafanya mengi kea njia za kistaarabu kuendesha siasa japo wanasulubiwa sana na JPM. Hapa naona wamesema "tuwasilishe...
 14. tanga kwetu

  Jeshi la Polisi, Tundu Lissu anawatumia ujumbe; msimpuuze

  quotes nyiiiiiiingi lakini kama ninge-mark hii insha yako ningekupa 20% kwa huruma ya muda ulioutumia kuandika hii insha-fyongo. Major failure ni tafsiri yako kwamba alijipigisha zile risasi na mazingira uliyoyajenga kuzunguka hiyo tafsiri. Pia nilivyokuelewa ni kwamba Lissu na chama chake pia...
 15. tanga kwetu

  Mbunge hapaswi kuikashifu Serikali au Rais wa Jamhuri ya Muungano

  Inategemea una-define vipi terms hizi "siri ya serikali" na "kashfa kwa Rais"
Top Bottom