Tanzania yatajwa katika nchi yenye madeni makubwa huku ukuaji wa DGP takwimu zake hazifanani na uhalisia (kupikwa) tuna hatari ya kwenda Zimbabwe

Unaonekana uko makini sana,na huna isichokijua.
Ndiyo sababubkila uzi unakuwa wa kwanza kuchangia na ni lazima ziwe pumba.
Lakini usihofu,tunajua unamtumikia kafiri ili ..........
Hilo gazeti la mwananchi linatumika na wapinzani kupika data za kupotosha umma

Serkali ilimulike
 
this is njhfjd hciiuewhyiuf gu
kjhiwhfife ajabu sana jhikufebjdhiewg regrr
unakuavipi fhhrfrkji ha kji nbkjh li jhktr jdkfe maisha jhckhkdiewhib mahardjh nkjidjnkjnhjh ya mnkjlkwenvjnbkjhfw mmtanzania kcjihydjbjc.
lmwkjoqdn kjhiuyiubj cjbuiuyb nyie mnkujsaihc jh bjhh ujing a nbjhguugjbjhgj mnkj
,klkjj nkjh kjhk hivi jbkuhbnbjnb\
ppiiteeeniiiihdshsbcgjcgsjhgiu

Safi mkuu kwa hapo naona umekazia kisawasawa,bila hivyo utamaduni wa Mwafrika unakua hatarini sana na pia ni vizuri kuendeleza siku ya mtoto wa Africa.
 
Nasikiaga huko TZ mnae pesa ingi pamoja na rasilimali kede kede hizo madebt zinatokana na Nini???
 
Hilo gazeti la mwananchi linatumika na wapinzani kupika data za kupotosha umma

Serkali ilimulike
Mtu au chombo cha habari kikiandika habari ya kuwasifia HAKITUMIKI ila kikiandika udhaifu au habari msiyoipenda KINATUMIKA. Ukiwa hupendi kukosolewa, piga marufuku kusifiwa pia
 
Raisi wetu sio mtu wakuaminika sana, alisema kila kijiji atakipa 50m paka sasa bado labda mwakani ndoatatekeleza ahadi yake
Ukweli una miujiza yake.
Maadui wa nchi hii ni wanafiki. Wanafiki ni wapambaji wa mambo mabaya yaonekane mazuri.
Tanzania ni kinara wa wanafiki. Itafika siku tutaumbuliwa na ukweli mithili ya ya mfalme alivyoingizwa chaka na Abunwasi hadi akatembea mitaani akiwa uchi wa mnyama.
 
Tukuamini wewe au tumuani raisi. Maana raisi anasema hiyo miradi mikubwa inajengwa kwa fedha za ndani. Raradox!
haya endelea kumwamini huyo rais wako na data zake za uwongo wakati miradi tumekopeshwa midola kibao
 
We jamaa acha uongo...utafungwa...kenya ndo inaongoza kwa madeni East Africa...Deni la Tanzania ni imilivu.

Acha kuropoka utakuja kuicost familia yako
Huwezi kupose threat kwake sababu ya uhuru maoni yake, ninyi ndio mnatakiwa kushughulikiwa kwa kuingilia haki za wengine kwa kuwa vyanzo kuwajengea hofu watz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom