Polisi wamekanusha kuwepo kwa tuhuma za kuhujumu njia ya reli katika Mkoa wa Kilimanjaro

Kama ilivyoripotiwa na mkuu wa Wilaya ya Hai, Ole Sabaya kuwahusisha wafanyabiashara wa mabasi siku chache zilizopita, uchunguzi umebainisha taarifa za Mkuu wa Wilaya hazikuwa na Ukweli.

My take ; Ole Sabaya unapaswa kuomba msamaha na kuwalipa faini uliowatuhumu

Chanzo: ITV

Maswali muhimu ya kujiuliza

Kutokana na hili maswali ni

Je, anafanya haya kwa lengo gani?

Ni mambo haya haya ya siasa?

Haya anayooneshaga runingani kuhusiana na taarifa za aina hizi nayo ni uongo?

Kutokana na hili tu, hapaswi kuwajibika?

Tunataka viongozi wa kutuletea maendeleo na si wenye lengo la kukomoa na kuumiza wananchi.

Wafanya biashara wa mabasi unganeni
Kiongozi mwenye dhamana anapotoa kauli za uongo kwa kosa la hujuma sheria zinasemaje ama mamlaka za uteuzi
 
KULIKUWA NA DC MMOJA TARIME ALIKUWA NA AKILI KAMA ZAKE
ALIFANIKIWA KUHADAA BAADHI YA WAKUU
IKIFIKA ANAJISIA ANAKUJA AMA KYKUITA OFISINI NATAKA MIL 5 NTAKA 3. ..WAKAMCHOKA OOH AKAJAA KWA JAMA MMOJA AKAMCHOMOLEA

AAKUJUA WASHATUMWA WATU KUMCHUNGUZA GAFLA KASHFA KUNA PESA ZA MIGODI GAWIO KALAMBA KADHAA MARA PYUU
JAMAA ALIKUWA AKIKAA BAR ANAWEKA BASTOLA MEZANI AKILEWA ANAJIITA MM NDIE RAISI WA TARIME NIKIAMUA UNAHAMA UNAHAMA MKOA WANGU DAH....

VINCHENCHEDE VILIPATA SHIDA SANA
NOW NEARLY SAD UMWANGALII MARAMBILI UKIMWONA
NO LONGER N D POSN
MUNGU AKIWAPAA NAFASI HASA VIJANA OMBENI HEKIMA KWA MUNGU MTANGULIZENI MUNGU
 
Sabaya kimaisha ni kijana mdogo Sana hata kiumri ni mdogo sana na hata kuoa hajaoa na Hana familia means Hana mshauri wa ndani wa kumshauri.anaamkia bar anakwenda ofisini akiwa na kilevi Cha Jana kichwani.siku anatangaza Mambo ya reli alikuwa mahali anakunywa konyangi akakurupuka kwenda site akiwa mlevi.ikifika jioni gari lake la kiofisi linampeleka pale njia panda ya Kia wanakuja wahuni wengine na gari binafsi kumpokea na kumpeleka Arusha kesho yake wahuni hao hao wanamrudisha njia panda ya Kia Kama Jana yake, Sasa chama na serikali na wananchi tutambue sabaya ni mtu wa namna gani .vinginevyo tutaumiza vichwa vyetu bure.ila DC wa Hai anatakiwa awekwe kwenye kipindi Cha uangalizi kabla ya uchaguzi mkuu October 2020, vinginevyo hatakivusha chama Cha mapinduzi salama.
Kachukua tabia za baba yake ndie mwalimu wake wa siasa chafu keshawahi chomea wananchi nyumba
 
KULIKUWA NA DC MMOJA TARIME ALIKUWA NA AKILI KAMA ZAKE
ALIFANIKIWA KUHADAA BAADHI YA WAKUU
IKIFIKA ANAJISIA ANAKUJA AMA KYKUITA OFISINI NATAKA MIL 5 NTAKA 3. ..WAKAMCHOKA OOH AKAJAA KWA JAMA MMOJA AKAMCHOMOLEA

AAKUJUA WASHATUMWA WATU KUMCHUNGUZA GAFLA KASHFA KUNA PESA ZA MIGODI GAWIO KALAMBA KADHAA MARA PYUU
JAMAA ALIKUWA AKIKAA BAR ANAWEKA BASTOLA MEZANI AKILEWA ANAJIITA MM NDIE RAISI WA TARIME NIKIAMUA UNAHAMA UNAHAMA MKOA WANGU DAH....

VINCHENCHEDE VILIPATA SHIDA SANA
NOW NEARLY SAD UMWANGALII MARAMBILI UKIMWONA
NO LONGER N D POSN
MUNGU AKIWAPAA NAFASI HASA VIJANA OMBENI HEKIMA KWA MUNGU MTANGULIZENI MUNGU
Ndo maana wenzetu ukiwa masikini upewi madaraka utalimbuka
 
SIKU UKISOMA BAIBO JIULIZENI SULEIMANI ALIOMBA HEKIMA KWA MUNGU UNAHISI AKUKUWA NA PESA AMA MALI ENZI HIZO.....

KUNA WATU WENGINE WANAMLILIA MUNGU USIKU NA MCHANA SIO MpAKA WAPATE MALI OGOPA SANA UKIWAGUSA UMEMGUSA MUNGU NA KAMWE MUNGU AWEZIKUKUACHA UBAKIE

HEKIMA
HEKIMA HEKIMA
JAMBO LAMAANA SANA
 
Ndio ule msemo "ukicheka na mbwa atakufuata hadi msikitini". Huyu dogo anaharibu kila uchwao anachekewa tu. Naona hadi siku alete kilio kizito kwa jamii au serikali ndio JPM ataamka kuhusu huyu dogo. Utamu wa kumhujumu Mbowe umemnogea. Dogo anapenda blackmailing so probably wale wenye mabasi walikataa kumpa pesa akataka kuwabambikia hii issue
 
Ana mambo mengi yko nyuma yake
Hawa viongozi wanajifanya wazalendo, ukali mwingi ndy wapigaji sana

Ova
Ndio ule msemo "ukicheka na mbwa atakufuata hadi msikitini". Huyu dogo anaharibu kila uchwao anachekewa tu. Naona hadi siku alete kilio kizito kwa jamii au serikali ndio JPM ataamka kuhusu huyu dogo. Utamu wa kumhujumu Mbowe umemnogea. Dogo anapenda blackmailing so probably wale wenye mabasi walikataa kumpa pesa akataka kuwabambikia hii issue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom