Balozi ni kiungo kizuri sana kati ya nchi yetu na ile nchi ulipo ubalozi wetu.Balozi ni mtafiti wa maswala mengi sana ya kiuchumi,uongozi,siasa,utamaduni,na mambo mengi,mengi sana kwa ajili ya kuendeleza nchi yetu.Nafasi ya ubalozi ni kitu muhimu sana, ila tatizo ni mtu yule aliyepewa dhamana ya...