Recent content by tamu 3

  1. tamu 3

    Tafuta pesa uheshimike

    Mwanaume ukiwa na pesa hata kama ni Mzee utakula chochote unachohitaji Mwanaume ukiona unalazimika kujieleza sana na hata unapojieleza unaonekana kituko tu au unaonekana unaleta fujo kwenye kikao cha familia/ukoo na hata unapojieleza wala hueleweki ujue bado uko mbali sana na pesa. Wenye...
  2. tamu 3

    Komesha ya wanaume tapeli

    Nilipata mwanaume humu tu 🤣🤣🤣🤣😅😅😅bas akanambia njoo tuonane njoo kwanauli yako ukifika nakurudishia nikaenda tukacheki afya vzr tu tukalala bas bwana asubuhi naamka hapo kitandani gest nakuta hayupo kasepa nauli hajaach ht sh mia 😬😭 nikampigia akanambia hiyo ndo dawa ya wanawake wa fb Mimi...
  3. tamu 3

    Thamani ya mwanamke ni ipi kwenye mahusiano?

    ✍️Mwenyekiti nimegundua kuwa ukiondoa ngono (sex) kwenye mahusiano mengi ya siku hizi, utagundua kuwa asilimia kubwa ya wanawake hawana mchango mwingine wowote kwenye mahusiano, totally nothing. Kitu pekee wanawake wengi wanachochangia katika mahusiano yao ni ngono na ngono pekee (sex and only...
  4. tamu 3

    Nimeshindwa kujiamini katika maisha

    Vumilia tu , woga utaisha tu
  5. tamu 3

    HISTORIA YA 10000

    HISTORIA YA NOTI YA TSH 10,000 Ilingia lini? Noti ya Shilingi Elfu Kumi (10,000 TZS) ilizinduliwa rasmi na Benki Kuu ya Tanzania mwaka 2003 kama sehemu ya mabadiliko ya sarafu ili kuendana na mfumuko wa bei na ongezeko la mahitaji ya thamani kubwa ya pesa. Watu waliipokeaje? Kwa wakati huo...
  6. tamu 3

    Ukiwa na milioni 50 utajenga nyumba au ufanye biashara upate faida NDO ujenge?

    Ukiwa na milioni 50 utajenga nyumba au ufanye biashara upate faida NDO ujenge?
  7. tamu 3

    Napitia Changamoto ya kuchukiwa na watu bila sababu

    Mimi nina miaka 26, ni mama wa mtoto mmoja, na naishi na mzazi mwenzangu. Changamoto yangu kaka ni kuchukiwa na watu bila sababu.😭💔 Sijui kama kuna watu wanapitia hali kama yangu, inanitesa sana hiyo kitu. Ipo hivyo toka nikiwa mdogo. Nikiwa marafiki, lazima watasema mambo yangu ya siri kwa...
  8. tamu 3

    Mwanamke epuka kumuambia mwanaume wewe sio type yangu

    WEWE SIO TYPE YANGU Mwanamke epuka kumuambia mwanaume wewe sio type yangu, wewe sio wa hadhi yangu, wewe huwezi kunimudu, katafute masikini wenzako huko Mimi ni wa viwango vya juu kama huna pesa usijisumbue you can't afford me n.k.....maneno haya yamewagharimu wanawake wengi sana. Kuna...
  9. tamu 3

    Utoto ulikufanya uone kila kitu kinawezekana ulipokua umegundua sio rahisi?

    Mimi nikiwa mdogo nilikuwa najua baba na mama mzazi wao ni mmoja . Mimi nilijua baba alikuwa mzembe kutojenga ghorofa mbona wenzake wamejenga? Mimi nilikuwa najua baba hatupendi kwanini hanunui nyama kila siku? Nilikuwa nawalaumu baadhi ya NDUGU kwanini hawarutembelei? Nilikuwa nawaonea wivu...
  10. tamu 3

    Huyu jamaa anafanya kazi ya hatari sana

    Huyu jamaa anafanya kazi ya hatari sana, Ajabu AKIPATA tu hela yote kwenda kuhonga , Kwani sisi wanaume shida ni Nini?
  11. tamu 3

    Tabia ya Hawa wafanyakazi wenzangu, inaninyima raha

    Hakatai kuomba lift ila ni too much
  12. tamu 3

    Tabia ya kuomba hela imekithiri

    Tabia ya watu KUOMBA HELA inakuja kwa kasi sana. Sio kwenye undugu, sio kwenye Urafiki, kwenye Mapenzi ndio usiseme Sasa. Utasikia, Oi! Kama una ten haina kazi nifanyie utaratibu, kuna mishe nasikilizia ! Eti ten haina kazi. Kwa maisha gani mwamba uwe na ten haina kazi? Acha utani! Mwingine...
  13. tamu 3

    Upendo udumisheni

    UPENDO UDUMISHWENI Beti nimetunga, sikio ziwakune, Kwa hiyari mmepanga, muoane muoane, Kibwebwe mmejifunga, pamoja mshikamane, Upendo udumishweni, i ngao ya familia. 2. Ndoa ni uvumilivu, hili mwapaswa tambua, Mjue mbichi na mbivu, vinaweza kutokea, Mwenye wivu na anaiharibu ndoa, Upendo...
Back
Top Bottom