Salaam,hivi karibuni kumekuwa na mdororo wa huduma za internet toka kwenye Makampuni ya Simu za mkononi,Watu wanajinyima kununua bundle lakini huduma zimekuwa mbovu mno,na mdororo unaendelea kwa kasi sana.
Tukutane hapa kwa ajili ya mjadala wa wazi,nini kifanyike.,Binafsi nimejaribu makampuni...
Baba Askofu ameanza tabia ya kupiga hata wasiompiga yeye. Kwa hili la Halima Mdee Askofu,nimemuelewa Askofu kuwa yeye hakufurahishwa na Mbunge wake kutoa Tusi hadharani..nafikiri ingekuwa mbunge ambaye si wake asingempiga..
Inaonekana kuna kamchezo katachezwa.,Jumatatu kuna watu(unanimous) watapelekwa Mahakamani,then utaskia kesi ipo Mahakamani na si ruhusa kuzungumza chochote kilicho Mahakamani.. na story may end up there..
Kwa maelezo ya Bashite,inaonekana kabisa anajua wapi walipo Roma na wenzake, Amesema kufikia Jumapili watakuwa wqmeshapatikana,na hata ukikuangalia machoni,anaonekana kabisa anauzunguka mbuyu..Siku ikifika Mungu atawachapa vibaya hawa watu..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.