Recent content by taly

  1. T

    Tabia za wanawake wasomi na wenye hela

    Dah yan humu duniani kila kitu tabu!mwanamke akiwa msomi tatizo,akiwa na pesa ishu nyengine na akiwa hana chochote hasara,ts hard to be human
  2. T

    Doctors

    Mmmh usijidanganye!upendo haupimwi kwa profession ya mtu
  3. T

    ........duh nimeisha....mwili unamtaman sana huyu

    absolutely!tatizo wanaume wanadhan wao ndiyo wanahaki ya kutaman na co wanawake,hata sisi tunataman sanaaa!cha msingi ni kuwa na msimo
  4. T

    Miss tz mwaka 2012 huyu hapa.

    umewapima?...acheni kuwakandia,si ajab ww ndo mwenye ngomaa!
  5. T

    Miss tz mwaka 2012 huyu hapa.

    Umewapima?....unauwakika gan?....achen hzo!cjabu ww ndo mwny ngoma
  6. T

    Wanadada tunalichuliaje hili?

    mpenzi wako anakupigia simu au kukutumia ujumbe mara nying ila kila mkikutana anataka ngono 2 na si mambo mengine na hakisha kamilisha anakuaga na kuendeleza mawasiliano ya simu 2!je m2 km huyu unamchuliaje?
  7. T

    Why ladies mnapata shida sana kuishi single without relation?

    Yan hapa umenena!kero mtindo mmoja hasa udanganyifu na kutothaminiwa
  8. T

    Why ladies mnapata shida sana kuishi single without relation?

    Kuwa decent ni muhimu kwa kila mtu na huyo dada anaweza akawa na matatizo mengine na sivyo unavyodhan
  9. T

    Unfaithfull!!!!!!!

    Kama hawez kuendelea nae amuache cz inaonekana uaminifu umeshapotea,atabaki kujiumiza bure kwa wacwac
  10. T

    mchana mwema mabibi na mabwana!

    Yatupasa kumshukuru Mola kwa baraka zake.
Back
Top Bottom