........duh nimeisha....mwili unamtaman sana huyu

wala!!!!!!!!! ni uzuri tu wa huyu mkaka mbona nyie mnatamanigi wadada wazuri???na mimi nina haki ya kutamani
absolutely!tatizo wanaume wanadhan wao ndiyo wanahaki ya kutaman na co wanawake,hata sisi tunataman sanaaa!cha msingi ni kuwa na msimo
 
Msukumo wa nguvu kubwa ya mapenzi kama hiyo mara nyingi hutokea kwa teenagers. Hata hivyo, tuliza kwanza moyo ni upepo tu unaweza kupita
 
fanya nae mara moja akikuomba utakuwa huru!tamaa itakuisha na regrets zitaanza!then it will be over!
 
arusha, baba mngoni, mama mchagga


.........duh nimeisha..........wana jf nina mchumba na staki acha naye kwa vyovyote ila

kuna mkaka yupo floor ya tano ni mzuri na mpole kupindukia.Nahisi staweza kumkataalia naomba asiwe malaya manake sina nguvu ya kumkataa.Tena nashukuru sina ujasiri wa kumtongoza mwanaume ningeshafanaya hivyo

Ofisi yao imehamia kwenye jengo letu karibuni...siku ya kwanza nlikutana naye kwenye lift nkaamua kupandisha nione anaposhuka.Alinipa salam nkashindwa hata kuitika.
Kama nuksi tukakutana kafeteria baada ya siku mbili tukakaa meza mmoja nlikula kidogo tu manake alipoanza mazungumzo nilijiona akili inavyonihama nkajipigia simu mwenyewe nkapokea nkajifanya naitwa juu.

Kama vile ameshanishtukia manake leo asubuhi kanitania alikula sahani zote mbili.

Najiuliza
1.Atakapoomba namba ya simu itakuwaje (hivi kwa umri huu kumnyima mtu namba nitaeleweka wakati tupo jengo mmoja).......AKIIPATA NAMBA YANGU NIMEISHA NA KUANZIA LEO WAKATI WA KULA SIENDI NA SIMU

NB:jaman huyo kaka ni mzuri sio mweupe wala mweusi, ana lafudhi ya bara, sio mfupi sio mrefu, sio chembamba sio chibonge.

MOYO NA AKILI VIMENIKATAZA KUMKARIBIA HUYU MKAKA ila MWILI unamtamani sana hadi ngozi imebadilika na kuwa rafu pia rangi imenifubaa gafla kwa kumtaka kila napomkumbuka


ANAFANANA NAMIMI?
:smile: :smile:
 
Back
Top Bottom