Wanadada tunalichuliaje hili?

taly

Member
Dec 15, 2011
10
3
mpenzi wako anakupigia simu au kukutumia ujumbe mara nying ila kila mkikutana anataka ngono 2 na si mambo mengine na hakisha kamilisha anakuaga na kuendeleza mawasiliano ya simu 2!je m2 km huyu unamchuliaje?
 
Wewe unafanya sex na mtu kwa sababu tu yeye kataka na wewe hupendi?
Unafanya sex ili kumfurahisha mtu?
Ni jibu kwanza then nitakuambia kitu
 
Anakutumia, hii ina maanisha kwamba ww ni kiburudisho tu kwake, na mahusiano yake na ww ni ya kingono tu kama ni kweli mnawasilia tu kwa simu then mkionana mnangonoka hakuna story hakuna mipango yoyote. Mulika mwizi huyo kawekeza kwa mwengine
 
huyo anakutumia tu na wala hana mpango na wewe. mie iliwahi kunitokea jamaa mkikutana anajifanya kachoka na wala hana muda wa kuzungumzia maisha. Fanya maamuzi mapema vinginevyo utakuja kujuta.
 
kabla ya kuanza kumburudisha hebu ongelea future yenu usikie atakwambia nini kama hanajipya achana ne anaonekana amekugeuza kiburudisho
 
Sasa kwenye simu hua mnawasiliana nini kama hamuongelei kuhusu maisha yenu??
Hua unapewa hata kifuta jasho au unatumika tu??
 
kwani hamtumiki?? nyie mlitaka mkikutana muendelee kutumiana message na kuongea na simu?
 
our needs are clearly defined and we know what we want,BUT you it is difficulty to communicate, mkisema hapana maana yake ndiyo, mkisema mtu furani kanitongoza ujue keshakula huyo. sasa inabidi uanze na shida zako ambazo zinajulikana za kinyume nyume baadae
 
mpenzi wako anakupigia simu au kukutumia ujumbe mara nying ila kila mkikutana anataka ngono 2 na si mambo mengine na hakisha kamilisha anakuaga na kuendeleza mawasiliano ya simu 2!je m2 km huyu unamchuliaje?

Anakupenda kweli kweli mpaka akakuomba mzigo na umempa kwa ridhaa yako
 
kwa sababu na wewe pia humtafuti kwa lingine!!
do to others what you want to be done to you
 
Huyo kapaona kwako mbaga pa kumwaga uchafu tu...

Hivi huo ni uchafu?Kama ndiyo kuna mwanamke hautaki?Kama hakuna mna akili nyie mnaoutaka uchafu wetu ambao ukimfuma mumeo anampa huo uchafu mwanamke mwingine unajaa sumu?
 
Uliwah kumuuliza kwa nini yuko hivyo? Pia muulize anakuchukuliaje kwa anavyokufnyia. Na tena nakuulza ww unajsikiaje? Na unamchukuliaje?
 
ww mwanzishie mipango ya mbeleni.
Yeye naye anakusema hivyohivyo kuwa huna future nae
 
Back
Top Bottom