Kwanza Geaha hajamkashifu alitakujua MTU mwwenye mapepo utamwambia lia kwa sauti!!kwani anaelewa anachokifanya? Pia utetezi alokuja nao huyo na bio hata haujitoshelezi tuwe wa kweli nabii hakumpanga MTU wake vzri,!
Nape,sidhani kama ni Kweli uliuliza hili swali,maana hapo umesema wanapambana na hali zao,kwa sentence hiyo hili umeligeuza kwa wanachi kwamba hiyo bombedier haiwasaidii
Pia wewe mwenyewe ulishiriki meza ya kalamu so unajua A to Z sisi watu wa kawaida ukija na maneno hayo HATUNA jibu !
Nakushauri hivi ,hebu jaribu kuwasiliana na ndg zako waliopo Ngara ili wakutafutie ndg ambae yupo Dar ili uweze kufikia kwake ili akupe muongozo wa maisha ya hapa Dar, si dhani ndg wote wa ngara hawana MTU wa karibu hapa Dar hili litakuwa jepesi kwako kuna watu Mwenye Nina nzuri/au mbaya Moyo...
Makubwaaa!!! Watu Sana bahati MWe! Laki ni ndogo si Bure kuna mahali anafanya jambo ukija shituka kesho maliza alichokikusudia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu awepe ujasiri wanae, maana aliwajali Sana wanae, Kama Baba muda mwingi akiwa nao, na wamezoea Kuishi na Baba yao, Hakika alikuwa Baba bora kwa family, kinyume na Mama yao. R. I. P
Rpc cjamuelewa, anaposema wananchi walio jeruhiwa wote waende, lengo nini, ashukuru ulie leta hii habar kila nikisoma cna mbavu, Kweli police Wetu wanajeruhiwa mioyo na kuumia kwa Kazi zao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.