Hii miwani (Frame za miwani) Inapatikana Wapi kwa Hapa Dar?

Hii miwani (Frame za miwani) Inapatikana Wapi kwa Hapa Dar?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,695
Reaction score
32,273
Nimehangaika sana kutafuta Frame za miwani kama hii maduka mengi sijafanikiwa. ningeomba mwenye ufaham anisaidie ntapata wapi frame za miwani kali kaam hizi.

Fashion-Mens-Style-How-to-Pick-the-Perfect-Pair-of-Eyeglasses-STfM195.jpg
images.jpg
index.jpg
iages.jpg
 
Jaribu kwenda ilala, opposite na Amana kwa mbele kidogo kuna clinic ya macho, Wana frame nyingi tofauti tofauti uone Kama utapata ya aina hiyo
 
nashukuru nitajaribu nao kwao
Jaribu kwenda ilala, opposite na Amana kwa mbele kidogo kuna clinic ya macho, Wana frame nyingi tofauti tofauti uone Kama utapata ya aina hiyo
 
nmetoka huko kuwaona. wana frame za kawaida tu. nashukuru sana. hizi frame zangu nazitafuta karibia jiji zima la dar sijapata
Nenda Upanga Eye Centre mimi huwa nachukulia hapo, last time nimechukua hii.

Miwani2.PNG
 
nmetoka huko kuwaona. wana frame za kawaida tu. nashukuru sana. hizi frame zangu nazitafuta karibia jiji zima la dar sijapata
Nenda Poosta mtaa wa samoora jengoo jipya LA national housing wanazo
 
Zipo nyingi maduka ya miwani jml mtaaa wa naru g'ombe na mchikikichi Nina business card Moja ya maduka hayo
 
kila mall za Dar nilipopita niliona hizo Eye Centre na wana fremu zakila aina
 
Back
Top Bottom