Nimehangaika siku nyingi sana kutafuta dada wa kazi ambae atanisaidia shughuli za nyumbani ambazo sinaga mda wa kuzifanya ikiwemo kupika na kufua na pasi pia kutokana na shughuli kuwa nyingi.
Nafurahi tangu nipate imekua siku kama tatu hivi nakula kwa muda na naondoka mapema maana nakuta maji...
Inaonekana una masharti sana mkuu..na una jeuri ya hela..bas na yy pia anajua unachofanya ni kwakua una hela ndio maana unamuamrisha sana..utamuonea tu..nia ya ndoa ni kuishi kwa kushirikiana sio kukomoana..msamehe kama kakosea ingawa cjaona kosa lake mjenge nyumba..msivunje
Nilikuepug naickiaga tu huu mnyama..baada ya test drive haujawahig kunitoka katika ubongo wangu..nakukusanyia ela..imekua dream car na kuusumbua moyo wangu for 4 month nao..
Mtu akisema gari la ndoto yake sio lazma awe hana gari..kuna mwengine atataja brevis lets say..unaweza kukuta anatumia vits lakin yupo ktk hatua ya siku aifikie ndoto yake endapo ataimiliki io brevis..na dream car si lazma iwe gari kubwa ya kufikirika..ni gari tu ya matamanio yako.na inaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.