Kakuta meseji za msichana mwingine nahisi mapenzi yanakufa

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,151
2,000
Kama mada inavyojieleza,

Mimi niko na mwanamke kwa miaka 5 sasa, tumezaa mtoto mmoja.Tunaishi mbalimbali kiasi, yani mikoa jirani.

Wiki iliyopita huyu mwenzangu alikuja kwangu siku moja akakuta simu naandika meseji nikaiacha nikaenda nje, akaanza kusoma akakutana na msg flani ya mahaba nliyokua nimemwandikia huyo msichana.

Kiukweli yule msichana sio wangu na wala sijawahi kutokana nae ila chating yetu sometimes inakua ya mapenzi mapenzi, mama mtoto akanimind sana nikamwelekeza a-z na kumwomba samahani yakaisha na akaenda kunishtakia kwa rafiki angu(shemeji ake) tukazungumza yakaisha

Nikiri kwamba nna frustration sana juu ya maisha sina mtu wa kunifariji so napendelea kuchat na watu mbalimbali hasa mabinti kiasi flani najiskia amani, sasa huyu mzazi mwenzangu naona hanaga muda na mimi.

Jana kaniita nikamcheki mtoto mgonjwa nikasafiri, Leo nimeacha simu yangu ndogo nakuta kaipekua na kufuma meseji ya kadhaa zenye kiashiria cha mapenzi, kanimind ikabidi nimwambie ampigie huyo dada wakaongea mbele yangu dada akakataa kuwa hana mahusiano na mimi.

Lakini mwenzangu hadi sasa kanuna ameniambia kama vipi tushindane eti na yeye atatafuta wanaume, mimi nikamwambia siko hivyo anavyonifikiria nachat na watu story hizi kupata faraja tu na si wasichana zangu.

Nahisi hadi sasa hakuna maelewano, nimejaribu kumshika kanikataza na kahama chumba mida hii kaenda kupumzika chumbani kwa housegal na asubuhi kaniambia kama vipi niondoke nyumbani kwake.

Nifanyaje aweze nielewa huyu mwanamke jamani?
 
Hunyu

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
4,785
2,000
Ondoka sasa hivi. Mi mwenyewe nina frastration zangu tu, samahani kama nimekukwaza kwa ushauri huu.
 
Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
16,479
2,000
Pole man , izi chats za mapenzi izi ,zinahatarisha sana mahusiano.

Upepo tu huo utapita ,, sema nn ,Unabonge lakazi lakurudisha iman yake ,nasiku ukiona kakata wivu basi ujue kafanya dawa ya moto nimoto .... Alafu Mwisho akakuletea Gonjw.
 
madia madia

JF-Expert Member
Sep 30, 2017
719
1,000
Kama mada inavyojieleza

Mimi Niko na mwanamke kwa miaka 5 sasa ,tumezaa mtoto mmoja

Tunaishi mbalimbali kiasi,yani mikoa Jirani
Wiki iliyopita huyu mwenzangu alikuja kwangu siku moja akakuta simu naandika msg nkaiacha nkaenda nje ,akaanza kusoma akakutana na msg flani ya mahaba nliyokua nimemwandikia huyo demu,kiukweli yule demu sio wangu na wala sijawahi kutokana nae ila chating yetu sometimes inakua ya mapenzi mapenzi,mama mtoto akanimind sana nikamwelekeza a-z na kumwomba samahani yakaisha ,na akaenda kunishtakia kwa rafiki angu(Shemeji ake) tukazungumza yakaisha

Nikiri kwamba nna frustration sana juu ya maisha sina mtu wa kunifariji so napendelea kuchat na watu mbalimbali hasa mabinti kiasi flani najiskia amani,sasa huyu mzazi mzazi mwenzangu naona hanaga muda na mm.

Jana kaniita nkamchek mtoto mgonjwa nkasafiri ,Leo nimeacha simu yangu ndogo nakuta kaipekua na kufuma msg ya kadhaa zenye kiashiria cha mapenzi ,kanimind ikabidi nimwambie ampigie huyo Dada wakaongea mbele yangu Dada akakataa kuwa hana mahusiano na Mimi

Lakini mwenzangu hadi sasa kanuna ameniambia kama vipi tushindane eti na yeye atatafuta wanaume,mi nikamwambia siko hivyo anavyonifikiria nachat na watu story hizi kupata faraja tu na si mademu zangu,nahisi hadi sasa hakuna maelewano,nimejaribu kumshika kanikataza na kahama chumba mida hii kaenda kupumzika chumbani kwa housegal
Na asubuhi kaniambia kama vipi niondoke nyumbani kwake .

Nifanyaje aweze nielewa huyu mwanamke jamanii.??
He kumbe unaishi kwake tena! Unaonekana we bado mdogo kwenye maswala ya wanawake. Tayari ushaingia mtegoni kaka. Kitu cha kwanza ulipaswa umgombeze kushika na kukagua sim yako. Anaishika ni yake? Au ungempa marufuku kukagua na akikagua atakachokikuta asilalamike. Hivi kwanza ni mke wako au unaishi naye tu maana ushauri huwa unategemea na situation !
 
Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,151
2,000
ningekuwa yeye ningekurushia begi barabarani huko. unalishwa unaleta jeuri?
Mkuu soma thread vizuri hakuna mahali niliposema nalishwa Mimi naishi kwangu na napambana na maisha yangu ila Jana jioni ghafla akanipigia simu niende kwake mtoto anaumwa so nikasafiri kwenda kumchek dogo ndo yakaibuka haya,sasa wapi nimezungumzia kwamba ananilisha au unapayuka payuka ka gari bovu
 
Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,151
2,000
He kumbe unaishi kwake tena! Unaonekana we bado mdogo kwenye maswala ya wanawake. Tayari ushaingia mtegoni kaka. Kitu cha kwanza ulipaswa umgombeze kushika na kukagua sim yako. Anaishika ni yake? Au ungempa marufuku kukagua na akikagua atakachokikuta asilalamike. Hivi kwanza ni mke wako au unaishi naye tu maana ushauri huwa unategemea na situation !
Sio mgeni wa wanawake na siishi kwake ,pia nlijisahau kufuta hizi msg na simu nkaiacha tu mezani coz huwa naitumia Mara moja moja
 
Karot

JF-Expert Member
Mar 6, 2017
882
1,000
Kama mada inavyojieleza

Mimi Niko na mwanamke kwa miaka 5 sasa ,tumezaa mtoto mmoja

Tunaishi mbalimbali kiasi,yani mikoa Jirani
Wiki iliyopita huyu mwenzangu alikuja kwangu siku moja akakuta simu naandika msg nkaiacha nkaenda nje ,akaanza kusoma akakutana na msg flani ya mahaba nliyokua nimemwandikia huyo demu,kiukweli yule demu sio wangu na wala sijawahi kutokana nae ila chating yetu sometimes inakua ya mapenzi mapenzi,mama mtoto akanimind sana nikamwelekeza a-z na kumwomba samahani yakaisha ,na akaenda kunishtakia kwa rafiki angu(Shemeji ake) tukazungumza yakaisha

Nikiri kwamba nna frustration sana juu ya maisha sina mtu wa kunifariji so napendelea kuchat na watu mbalimbali hasa mabinti kiasi flani najiskia amani,sasa huyu mzazi mzazi mwenzangu naona hanaga muda na mm.

Jana kaniita nkamchek mtoto mgonjwa nkasafiri ,Leo nimeacha simu yangu ndogo nakuta kaipekua na kufuma msg ya kadhaa zenye kiashiria cha mapenzi ,kanimind ikabidi nimwambie ampigie huyo Dada wakaongea mbele yangu Dada akakataa kuwa hana mahusiano na Mimi

Lakini mwenzangu hadi sasa kanuna ameniambia kama vipi tushindane eti na yeye atatafuta wanaume,mi nikamwambia siko hivyo anavyonifikiria nachat na watu story hizi kupata faraja tu na si mademu zangu,nahisi hadi sasa hakuna maelewano,nimejaribu kumshika kanikataza na kahama chumba mida hii kaenda kupumzika chumbani kwa housegal
Na asubuhi kaniambia kama vipi niondoke nyumbani kwake .

Nifanyaje aweze nielewa huyu mwanamke jamanii.??
Mwache na yeye achat na hao wanaume.
 
usser

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
12,138
2,000
Unaenda je kulala Kwa dem
Haya Sasa ona unafukuzwa
kama mbwa
 
The Dark Father

JF-Expert Member
Oct 9, 2017
1,111
2,000
Mbaba....

'Trust' ni kitu muhimu sana... Hakuamini tena aisee.

Ukiwa na mahusiano, kumbuka usiharibu hiyo kitu.

Kama bado unamtaka, build it na kuwa careful usizingue tena.
 
Tallyi

Senior Member
Jun 6, 2017
157
250
Uzembe wako umekuulia ndoa..wajanja tunaweka ID ya touch na tunakataza michepuko icpige cm usiku..punguza uzembe cku ingine.
 
Poise

JF-Expert Member
May 31, 2016
7,578
2,000
Sigara Kali ,
Mkuu, Acha upoyoyo, utakufa wewe na kuyaacha mapenzi.

Mapenzi huwa hayafi bali watu ndiyo hufa kwa sababu ya mapenzi.

Jiendekeze tu hutakwepa wimbo wa palapanda italia palapanda ×3.

Baki na mke au mpenzi mmoja haya yote hayatakupata.
 
MSILOMBO

JF-Expert Member
Dec 3, 2015
510
500
Usiombee afanye yeye, yaani ye ndy atausifia mkuyenge,

Mambo mengine kwa kweli wanaume wanasababisha,

Kama umemsoma mkeoo hisia yake kwako kwanini umuumize.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom