Wanaume: Mnajizuiaje kutembea na wasichana wa kazi?

Tallyi

Senior Member
Jun 6, 2017
157
250
Nimehangaika siku nyingi sana kutafuta dada wa kazi ambae atanisaidia shughuli za nyumbani ambazo sinaga mda wa kuzifanya ikiwemo kupika na kufua na pasi pia kutokana na shughuli kuwa nyingi.

Nafurahi tangu nipate imekua siku kama tatu hivi nakula kwa muda na naondoka mapema maana nakuta maji ya moto tayari baada ya kutoka mazoezi asubuhi na nguo zimenyooshwa kimsingi nimefurahi.

(For just having a laugh)
Aka kadada jamani kanakula kuku, nakumbuka siku ya kwanza nimekuja na kuku mzima nikamwambia atengeneze kwa ajili ya kula yeye mchana na usiku, hee! Nakuja usiku anasema alikula asubuhi na mchana kaacha mchuzi tu, nikasema sio inshu, nikamuelekeza huwa tunafanya budget.

Nikaletewa keki na jamaa yangu baada ya birthday yake kusupriziwa na manzi yake na keki ndio ugonjwa wangu jana hio, nikasema siigusi hii nije kujinafasi na icing sugars zangu usiku baada ya mihangaiko nakuja nakula kalamba hadi icing sugars nauliza anasema anapenda keki alijua ndio nimembakizia yeye.

Leo asubuhi nimemwachia hela ya nyama kilo na ndizi nakuja nakuta imebakizwa nusu sahani, sasa najiuliza wanawake ndio wanakula kiasi hiki anakomoa au ni vipi, kumtunza mtu kama huyu ni vigumu sana.

Alafu swali kwa wanaume wenzangu, hivi mnajizuiaje kumuacha msichana wa kazi bila kutembea nae maana kadri siku zinavyozidi kwenda naona anazidi kuwa mzuri tu. (For just having a laugh)
 

Tallyi

Senior Member
Jun 6, 2017
157
250
Tangu umpate imekua siku kama tatu unawahi kazini.

Siku ya kwanza kala kuku, ya pili keki, ya tatu ndizi na nyama.

Ila kadri siku zinavyoenda anazidi kupendeza.

Ndiyo hizo siku tatu au?
Kufupisha story za cku alizonikomoa..nmeongelea kama tatu tu..
 

Binkcarter

Senior Member
Jul 23, 2014
172
250
Tangu umpate imekua siku kama tatu unawahi kazini.

Siku ya kwanza kala kuku, ya pili keki, ya tatu ndizi na nyama.

Ila kadri siku zinavyoenda anazidi kupendeza.

Ndiyo hizo siku tatu au?

nadhani siku tatu kwa jamaa nikama miezi mitatu kiuhalisia
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
105,413
2,000
Umezunguka sana Mkuu. Ungesema tu beki tatu kaanza kunawiri unataka kumvua picchu ingependeza.

Nmehangaika cku nyingi sana kutafuta kadada wa kazi ambao hatanisaidia shughuli za nyumbani.
Nafurahi tangu nipate imekua siku kama tatu ivi nakula kwa mda na naondoka mapema
Alaf swali kwa wanaume wenzangu..ivi mnajizuiajeg kumuacha bekitatu bila kumla..maana kadri siku zinavyozidi kwenda naona anazidi kuwa mzuri tu..
 

Super women 2

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
5,176
2,000
Mrudishe kwao.
Tamaa ya ngono imekutawala. Usije baka bure. ukamuharibia maisha binti wa watu.
 

Simple F

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
1,155
2,000
Ataacha kula sana akizoea hivyo inaonekana bado ana kiu navyo labda anaviona kwenye picha alikotoka so mvumilie tu atapunguza
 

feitty

JF-Expert Member
Jul 10, 2015
2,045
2,000
Tangu umpate imekua siku kama tatu unawahi kazini.

Siku ya kwanza kala kuku, ya pili keki, ya tatu ndizi na nyama.

Ila kadri siku zinavyoenda anazidi kupendeza.

Ndiyo hizo siku tatu au?
Atakuwa broiler mana ndio huwa wanaonyesha mabadiliko haraka.
 

Malyenge

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,177
2,000
Nmehangaika cku nyingi sana kutafuta kadada wa kazi ambao hatanisaidia shughuli za nyumbani
Nafurahi tangu nipate imekua siku kama tatu ivi nakula kwa mda na naondoka mapema
Alaf swali kwa wanaume wenzangu..ivi mnajizuiajeg kumuacha bekitatu bila kumla..maana kadri siku zinavyozidi kwenda naona anazidi kuwa mzuri tu..
Mada yako ndio imelenga kumla beki tatu huyo. Maneno meengi lakini hoja ndio ulilenga hapo. Hiyo keki mara sijui kuku mzima mara ndizi yoye ilikuwa zuga tu!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom