Recent content by Taliq Aidano

  1. Taliq Aidano

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu hebu haraka sana tuacheni huu ushamba na tubadilike pia

    Kichomi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Taliq Aidano

    JamiiForums Tanzania Nani mkweli kwenye hili la uchawi kati ya FaizaFoxy na mshana jr?

    Ila kiukweli mimi huwa namwogopa sana Faiza Foxy....napata picha jinsi alivyo kiuhalisia ni kama wale mabibi wachawi kwenye muvi za Harry Potter.
  3. Taliq Aidano

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia za wadada kusema wewe sio wa type yangu huwatokea puani

    Umenigusa...kuna kabinti kafupiiii nikakatupia nafaka za mahindi kakaanza ooh mm napenda wanaume warefu...sa nikimtizama yy mfupi nkamuuliza...kwa hyo mm mfupi?...kaanza ooh ww siyo mrefu wala siyo mfupi...sikumuelewa nkamfuta pale pale!
  4. Taliq Aidano

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye nia ya kuwa na serious relationship

    You will end up SOMEWHERE ELSE!!!
  5. Taliq Aidano

    JamiiForums Tanzania Waziri Angellah Kairuki na Mhe. Rais, kwanini mlisitisha ajira 3000 za hawa vijana masikini?

    Kila jambo na wakati wake...kuna wakati wa kulia na wakati wa kucheka...wakati wa furaha na wakati wa kuomboleza...wakati wa kuingia na wakati wa kutoka...wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa...wakati wa kuajiriwa na kutoajiriwa....Hivyo vyote ni ubatili mtupu kwa maana kila jambo litapita!
  6. Taliq Aidano

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kutumia Bibilia ya kwenye simu wakati wa ibada kanisani?

    Tatizo la simu bhn ina mambo mengi
  7. Taliq Aidano

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Moyo Mashine....

    Hawa nao....
  8. Taliq Aidano

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mwanaume ninayempata namkifu mapema

    Hauko sexy
  9. Taliq Aidano

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji yangu ananifikisha kileleni kuliko mpenzi wangu!

    Na mm ntakukaza we jilengeshe tu!
  10. Taliq Aidano

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya watoto wadogo 3,000 wafanyiwa unyama na wachungaji wa Kanisa Katoliki

    Lengo la kuanzisha huu uzi ni lipi???
  11. Taliq Aidano

    JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako awatupia lawama Bodi ya Mikopo kufanya kazi kwa mazoea, arejesha posho ya 8,500

    Kuna wakati Real Madrid ilikuwa na mastaa wengi sn km ronaldo de lima,zidane,louis figo,david bekham na roberto carlos...lkn Madrid walikuwa wanafungwa kuliko wakati wowote ule...hapa kwetu viongozi wa awamu hii wengi wao ni maprof na madokta kwny cabinet, lkn mchango wao kwny maisha ya watu ni F!
  12. Taliq Aidano

    JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako awatupia lawama Bodi ya Mikopo kufanya kazi kwa mazoea, arejesha posho ya 8,500

    Kuna wakati Real Madrid ilikuwa na mastaa wengi sn km ronaldo de lima,zidane,louis figo,david bekham na roberto carlos...lkn Madrid walikuwa wanafungwa kuliko wakati wowote ule...hapa kwetu viongozi wa awamu hii wengi wao ni maprof na madokta kwny cabinet, lkn mchango wao kwny maisha ya watu ni F!
  13. Taliq Aidano

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya maji kwa umwagiliaji na umiliki wa ardhi pembeni ya mito

    Water use permit inahusika hapo...kwa ufupi ni process ndefu kidogo...
  14. Taliq Aidano

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu wa kujua mpenzi wako alishakuwa na wapenzi wangapi kabla ya ndoa?

    Ndo maana huwa navichapa kwa hasira sn hv viumbe
Back
Top Bottom