Recent content by talentbrain

  1. talentbrain

    Domain Name and Hosting

    Ninashukuru brother .. naona inatakiwa nilipoe hosting kabla mwezi huu haujaisha
  2. talentbrain

    Kampuni za Kitapeli Tanzania (Scam companies)

    BOT walishasema zamani sana kuhusu aina hii ya biashara ya utapeli mtandaoni. Yaani mnajiunga uchochoro ni huko halafu mnakuja kulalamika hadharani baada ya kuigwa. Who to blame zaidi ya udhaifu wenu wa kutaka pesa za miujiza?
  3. talentbrain

    Diara ipo siku sifa zitamponza

    Msifie pia kwa kuwaokoa aibu ya goal kadhaa kwa utopoloo. Zile one vs one haukuziona?
  4. talentbrain

    Kampuni za Kitapeli Tanzania (Scam companies)

    Watu wanajiunga bila kuihusisha serikali wakipigwa wanaihusisha. Kampuni zinasajiliwa kwa ajili ya kazi nyingine wakishasajiliwa wanaanzisha wizi huu. Cha muhimu ni jamii kujua namna ya kujiepusha na aina hii ya utapeli. Wanapoingia na kutoa vitita vyao hakuna anaelalamika au kutoa report kwa...
  5. talentbrain

    Kampuni za Kitapeli Tanzania (Scam companies)

    Kama una akili timamu hauwezi jiunge na ujinga huo.
  6. talentbrain

    Tanzania ili tuendelee tujiunge na Marekani

    Yaani ukimchukia Diamond tu unamlima shaba kama wanavyoita matapa wao.
  7. talentbrain

    Zanzibar yaizidi JNIA kwa idadi ya wageni wanaoingia nchini

    Hizi comments za kuonyesha nani ni nani zimeshamiri siku hizi. Mnazitoa kwa faida ya nani? Wakishukiwa Zanzibar, Dar es salaam Kilimanjaro au popote yote ni heri tu. Zanzibar ni maarufu kwa utalii wa fukwe. Ni wazi wageni wengi wanaoingia kwa ajili ya mapumziko watakwenda Zanzibar moja kwa...
  8. talentbrain

    Nataka leo kwenda kusali free church

    Uchungaji ni rahisi sana aseee ... Nimesikia maneno ya faraja tu.
  9. talentbrain

    Domain Name and Hosting

    Ahsante sana! Ngoja nipitie kuona namna ya kufanya. Thanks
  10. talentbrain

    Domain Name and Hosting

    Hili wazo japo nahitaji nyama zaidi. Ukiweza naomba ukiongeza maelezo.
  11. talentbrain

    Domain Name and Hosting

    Habari wadau. Nina miliki website tatu kwa sasa na ninafikiri kuongeza moja hivi karibuni. Kila aliyenitengenezea website aliweka package ya domain name na hosting kwa mwaka mmoja bure. Baada ya mwaka nikaanza kulipia domain name na hosting ambayo kwa website 3 si haba. Nimefikiria kununua...
  12. talentbrain

    UVCCM wamekengeuka, kumkomalia Spika kujiuzulu ni dalili kuwa hampendi bunge kufanya kazi zake za kuisimamia Serikali. Mnatumika bila kufikiri

    Kwamba Ndugai ndio Bunge?? Yaani maazimio ya Bunge yakaelezwe na Ndugai kwenye kilao cha kabila? You are not serious brother. Anaisimamia vipi serikali kwa kuisema kwenye maeneo ambayo hawapo? Au pale alikuwepo mwakilishi wa serikali ili ajibu au achukue report?
  13. talentbrain

    Jaribio la kumtoa Spika Ndugai ni la hatari kuliko linavyochukuliwa

    Brother umesomea wapi?? Anavunja Bunge na uchaguzi unaorudiwa ni wa wabunge tu
  14. talentbrain

    Jaribio la kumtoa Spika Ndugai ni la hatari kuliko linavyochukuliwa

    Mpaka wafikie hatua ya kumpigia kura ya kutokuwa na imani nae yeye kakaa tu analiona bunge bila kulivunja??
  15. talentbrain

    Askofu Gwajima: Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi

    We Mdini sana! Leta data kwenye yafuatay: Kwenye mawaziri waislam ni % ngapi? makatibu wakuu waislam ni % ngapi? Wakuu wa Mikoa waislam ni % ngapi? Wakuu wa wilaya waislam ni % ngapi? Wakurugenzi walioteuliwa majuzi waislam ni % ngapi? Hivi hizi tabia za kujadili teuzi kwa kuangalia dini zao...
Back
Top Bottom