Recent content by TALEI

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mifuko ya PSSSF na NSSF, walipeni Wastaafu Mafao yao, au hadi tuandamane?

    Wiki hii wameanza kulipwa mafao wamewekewa 25% mkupuo badala ya 50% ukiwauliza wanadai watakuja kuwaongezea nyingine huko mbeleni.Barua za mchanganuo Wa malipo hazielezi kuwa kilicholipwa ni sehemu ya malipo sasa watakuwa na base ipi ya kudai. Kwanini wanalipa kwa kikokotoo ambacho Rais...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa UDOM washindwa kujibu neno ASAS lina tarakimu ngapi, aisee hatari

    Hakuna tarakimu hapo, muuliza swali ameuliza asichokijua Sent using Jamii Forums mobile app
  3. T

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Used Engine ya Nissan sunny, Nissan Match na Nissan saloon inauzwa

    Inatafutwa head 1kz complete
  4. T

    JamiiForums Tanzania Engine ya Toyota Landcruiser ya 1HZ inahitajika

    Natafuta head 1kz complete
  5. T

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Natafuta Suzuki swift au raumu old nitumie picha watsap 0625675169.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kwa uzalishaji na masoko ya biashara za madini, njoo hapa uliza chochote

    Wadau hayo ni madini gan
  7. T

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Natafuta chimbo LA bidhaa kama MAJI ya Afya NA Aqua
  8. T

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Canon Photocopy iR2016j

    Natafuta inayogeuza yenyewe, inapanga NA kupiga pini kabisa
  9. T

    JamiiForums Tanzania Wakuu gari aina ya ford everest inauzwa kwa bei chee kabisa

    Gar zenye usajir wa Zanzibar huwa zinaingia kwao kwa punguzo LA kodi ukiinunua ikifika bara ili usajiri upya kwa T lazima ulipe difference ya KODI ya msamaha.wanaangalia value ya gar ilitakiwa kulipa being gan wanatoa KODI iliyolipwa Zanzibar then iliyobaki unalipa
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Dodoma Lin mkuu
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kwa uzalishaji na masoko ya biashara za madini, njoo hapa uliza chochote

    Soko la phelispa chocolate, nyeupe na nyeusi linapatikana wapi
  12. T

    JamiiForums Tanzania Jipatie tairi mpya aina ya roadcruza kwa bei poa

    Tairi inayofunga kwenye Prado rim size16 bei gan Sent using Jamii Forums mobile app
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenzi mwenye mtoto nje ya ndoa

    Quickly
Back
Top Bottom