mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,704
Mwezi Desemba 2018 wakati Mh.Rais alipokuwa anaongea na Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi na kuagiza Kikokotoo cha zamani kiendelee kutumika mpaka mwaka 2023 , Aliagiza kuwa Wastaafu wote wawe wamelipwa Mafao yao ifikapo Mwezi Januari 2019.Lakini mpaka leo Mifuko hiyo bado haijaanza kuwalipa Wazee wetu Wastaafu.Tunaomba Wahusika wa Mifuko hiyo watekeleze Agizo la Mh.Rais au wanataka Tuandamane?Wakumbuke nao kuwa kuna siku watakuwa Wastaafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app