Recent content by takrima

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mrejesho fao la kujitoa kutoka NSSF

    Wengine ni wale wa miradi ya mda mfupi bila shaka hawa hawahusiki kwa termination.maana kuna NGO za miaka mitatu au minne znaisha hapa termination inaingiaje Sent using Jamii Forums mobile app
  2. T

    JamiiForums Tanzania Makonda: Fedha zote za matibabu ya bure kwenye meli katoa Rais Magufuli

    Kampeni zimeanza
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke

    Mimi pia nilitoa tangazo kama hilo ila sikuweka kigezo cha dini wala umr ...mods wakalitoa faster cjajua tatizo hebu mnisaidie
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kingamuzi cha Azam TV wamefuta Emmanuel TV?

    Chanel namba ngapi aisee
  5. T

    JamiiForums Tanzania Haya ndio matangazo bora ya biashara kwangu kwa mwaka 2016

    Matangazo ya gvt hayavutii kwa sababu
  6. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari used

    natafta gar used yenye usajili wa kuanzia C au D nina bajet ya 7.5m isiyo na deni lolote wala majanga.my preference 1.ist 2.raum 3.nisan note
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wenye uzito wa kilo 90 kwenda juu tukutane hapa

    Mimi Nina kilo 76 I wish zifike 60
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ndalichako: Hatuwezi kuwapa mikopo wanafunzi wasio na vigezo kisa tunavuka lengo la ukusanyaji kodi

    Kufaulu dv one au two cyo kigezo pekee cha kupata mkopo naona wengi humu ndan tunakoment kwa mihemko hatufatilii kwa undan kabla ya kuhamaki
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ndalichako: Hatuwezi kuwapa mikopo wanafunzi wasio na vigezo kisa tunavuka lengo la ukusanyaji kodi

    Enrique upo sawa. Chabusalu na uhakika hakuna anayeibiwa kwa issue ya mikopo.unachojaza ndicho kinachofanyiwa kaz na kutoa majibu kama unastahili kupata mkpo au hustahili
  10. T

    JamiiForums Tanzania Aliye ielewa hii Msg tafadhali anisaidie kutafsiri!!

    Hii ndyo Tanzania
  11. T

    JamiiForums Tanzania AIBU kubwa yaikumba CCM mtaa Lindi! Mkutano hauna watu!

    Nachukia sana hawa magamba basi tu cna uwezo Wa kuwatoa katika system maana kila kona uozo tu
  12. T

    JamiiForums Tanzania Bunge la katiba 300, 000 haiwatoshi wabunge, 45, 000 inawatosha madereva wa mawaziri

    kwa kweli hapo hakuna uzalendo....at least wapewe hata laki moja na wao c binadam kam wao
  13. T

    JamiiForums Tanzania Breaking News!NBAA New Syllabus at Glance-Effective From November 2014

    jaman sasa kwa sisi ambao tupo ndani ya existing sylabus tutaanzia wap in case tukashikwa mashat
  14. T

    JamiiForums Tanzania Social credit company ni kampuni ya ukweli au magumashi?

    du mi nimejaza form yao wakanipigia kwamba wameaprove mkopo wangu wa 5milion nilioomba lakin mpaka nideposit 45000 thousand watanitumia lakin nikaanza kujihoji maana mhhhhh,
Back
Top Bottom